Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,124
- 2,369
Yanga na simba head to head nani kamfunga mwenzake mara nyingi, na nani kamfunga mwenzake magoli mengi??HII YOTE NI AFRICAN SOCER SHOW
MPIRA WETU KIVYETU VYETU.
hawa wazee watakuwa na maamuzi makubwa , Watapiga sana pesa. Na hakuna timu itafanikiwa dhidi simba mbaka uchaguzi ujao.
1. Tuseme tu ukweli simba ikiwa pamoja hakuna timu inaweza ikapata hata sare kwa mkapa.
Eg RAJA na Alhly
2. Ogopa sana KAULI MBIU YA NGUVU MOJA.
3. Mo ameona matokeo si mazuri ndani na nje ya Klub mambo hayaendi kabisa (kukosa ubingwa 2 years)
4. Haya majeraha ya mala kwa mala ya wachezaji muhimu Manula Inonga, phiri aubin Kramo si kitu cha kawaida (gizani).
5.Sajili mbovu na kufungwa giza kwa Baadhi ya wachezaji.
Ayoub,Kramo,Saido,Miqui nk.
6. Baadhi ya wazee wanavyoamini wao wanasema wamepeleka mpira wa simba jangwanj kwasababu ya majeraha ya vyeo na makovu ya chaguzi.
Kama hawa wazee wote walioteuliwa wakikubaliana NGUVU MOJA.
Kila kitu simba kitakwenda sawa yatarudi yale ya Ubingwa mala 4 mfululizo.
Itarudi simba ya Biriani na lunyasi.
TUTEGEMEE SIMBA YENYE MAFANIKIO ZAIDI.
Quote
Nijibu tafadhali