Mo Dewji: Kama Mayele yupo tayari kuvunja mkataba wake na Yanga, tutambeba

Mo Dewji: Kama Mayele yupo tayari kuvunja mkataba wake na Yanga, tutambeba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MO: TUKIMTAKA MAYELE, TUTAMBEBA.

“Sifuatilii sana mechi za Yanga...Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza ni mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri"

“Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”

RAIS WA HESHIMA WA KLABU YA SIMBA, MOHAMMED DEWJI.

Source: FutbalPlanetUpdates

1680177807650.jpg
 
Najaribu kutafuta aliposema "Tukimtaka Mayele tutambeba" sipaoni ..
Acha nikusaidie.....najua makolo mnapresha ya mechi

Mo..
"Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”
 
Alichokisema yeye ni mchezaji bora popote Africa,, ila wewe umekuwa too specific
 
Ila huyo Mo hana uwezo wa kununua mchezaji yeyote bora Afrika kwani hiyo biashara ni ya familia na hawawezi wakakubali hiyo hasara kwani wanafahamu hiyo pesa ingetumika kwenye shughuli nyingine ingeleta faida ya uhakika zaidi kuliko ikiwekezwa kwenye mpira ambapo inakuwa ni pata potea.
 
Janja janja
 
Back
Top Bottom