Mo Dewji: Kama Mayele yupo tayari kuvunja mkataba wake na Yanga, tutambeba

Mo Dewji: Kama Mayele yupo tayari kuvunja mkataba wake na Yanga, tutambeba

MO: TUKIMTAKA MAYELE, TUTAMBEBA.

“Sifuatilii sana mechi za Yanga...Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza ni mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri"

“Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”

RAIS WA HESHIMA WA KLABU YA SIMBA, MOHAMMED DEWJI.

Source :FutbalPlanetUpdates

Huyu ni kwa maneno ni zaidi ya dalali
 
Alivyo sajiriwa Okwa na Sawadogo nikajua Simba hatufiki popote Club Bingwa. Ila wachezaji wa Zamani wamejitoa sana kutufikisha hapa tulipo.

Mayele Simba wenyewe walimkataa wakati tunacheza na A.S. Vita.
Mayele na Juma Shaaban walitaka kuja Simba. Lakini Simba ilipotezea kama ilivyompotezea Aziz Ki, Manzoki na Adebaye.

Simba Hawawi Serious kwenye maswala ya Usajiri wa wachezaji wake.
Ni kwamba wanaokota okota tu maporini.
 
Katika Usajiri MO Dewji anapigwa sana sana.

Kamati ya Usajiri ya Simba inatakiwa kujiuzuru Mara moja.

Yaani sasa hivi.
Timu kubwa tunafungwa na ka timu kama Yanga.
Hadi Bosi anatokwa na machozi wakati pesa ni yake.

Kamati ya Usajiri ya Simba ijiuzuru mara moja.
 
MO: TUKIMTAKA MAYELE, TUTAMBEBA.

“Sifuatilii sana mechi za Yanga...Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza ni mchezaji mzuri sana na namuombea kila la kheri"

“Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”

RAIS WA HESHIMA WA KLABU YA SIMBA, MOHAMMED DEWJI.

Source :FutbalPlanetUpdates

muhindi kumbe anatakaga mwenyewe kupigwa,wape hela wezi ya kumnunua mayele wamuongezee mkataba kapama na kibu...kye kye kyeee nyingine wakamalizie nyumba zao kigamboni
 
Back
Top Bottom