Acha nikusaidie.....najua makolo mnapresha ya mechiNajaribu kutafuta aliposema "Tukimtaka Mayele tutambeba" sipaoni ..
Kaishasema hawezi kuvunja mkataba ila kama Mayele mwenyewe atavunja mkataba na Yanga sawa.[emoji23][emoji23][emoji23]Waweke pesa mezan tufanye biashara, pesa zenyewe zamalalamiko ataweza
Alichokisema yeye ni mchezaji bora popote Africa,, ila wewe umekuwa too specificAcha nikusaidie.....najua makolo mnapresha ya mechi
Mo..
"Simba tuko tayari kumpata mchezaji bora popote Afrika kwa hiyo kama Mayele atakuwa ameorodheshwa na mkataba wake yuko tayari kuuvunja na Yanga na kuja Simba basi simba itakuwa tayari,”
Janja janjaIla huyo Mo hana uwezo wa kununua mchezaji yeyote bora Afrika kwani hiyo biashara ni ya familia na hawawezi wakakubali hiyo hasara kwani wanafahamu hiyo pesa ingetumika kwenye shughuli nyingine ingeleta faida ya uhakika zaidi kuliko ikiwekezwa kwenye mpira ambapo inakuwa ni pata potea.