Mo Dewji kamzidi vipi Bakhresa kwa Utajiri?

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?

Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?

Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguza vyanzo gani?
 
Bidhaa kua na quality ni jambo jingine na bidhaa kuwa na high quality alafu ikauzika ni jambo jingine

Unaweza ukawa na bidhaa quality afu sokoni ikakosa soko
 
Kwa sababu ana 49% Simba ambazo ni zaidi ya 2000% za Azam
 
Ngoja waje wenye Moo wao ili wakujibu maswali yako yote! Muda huu wapo kwenye kikao cha kuhakikisha leo jioni wanapata ushindi dhidi ya wadogo zao wa Namungo.
 
Bakharesa amezidiwa kwa sababu yeye ni mzanzibar siyo mtanganyika kwani yy ana nchi yake ya zanzibar yenyebendera yake na yenye wimbo wake wa taifa
 
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?

Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?

Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguza vyanzo gani?
Kwani weye umetumia kigezo kipi kubishana na "the Forbes"?Ukubwa wa mguu siyo kuwa na mashuti makali uwanjani!😂😂😂😂
 
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?

Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?

Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguza vyanzo gani?
Mjadala wa ni nani tajiri zaidi ni maarufu sana miongoni mwa mafukara. Haya karibuni mafukara wote tujadili.
 
Nakupinga. Unataka kusema Forbes na Bloomberg huwa ni mafukara?

Huu ni mjadala kama mingine. Mfanyabiashara anatoa huduma wanamfatilia, msanii anaimba wanamfatilia, mchezaji vilevile
 
Hawa ni vyombo vya habari. Na hawafanyi mjadala bali wanatoa taarifa. Sisi mafukara wa Bongoland tunabishana. Unakuta watu wanabishana nusu kushikana mashati eti huyu ni tajiri kuliko yule. Malumbano yanaweza kuendelea kwa muda mrefu kabisa na mara nyingi huwa hakuna maafikiano. Kwa mfano hii thread mwanzishaji anabisha kilichoandikwa na hao unaosema.
 
Nakupinga. Unataka kusema Forbes na Bloomberg huwa ni mafukara?

Huu ni mjadala kama mingine. Mfanyabiashara anatoa huduma wanamfatilia, msanii anaimba wanamfatilia, mchezaji vilevile
Forbes na Bloomberg hiyo ni kazi/biashara yao na wanalipwa kwa hizo tafiti au data wanazokusanya na wanaaminika kwa ukweli wao ili kuwawezesha wawekezaji wengine kutambuana

Sasa wewe T14 Armata na LICHADI tuambie mnafaidikaje ? na sisi tujifunze ?
 
Bidhaa kua na quality ni jambo jingine na bidhaa kuwa na high quality alafu ikauzika ni jambo jingine

Unaweza ukawa na bidhaa quality afu sokoni ikakosa soko
Bidhaa quality alf sokoni ikakosa mteja?[emoji23][emoji23] una akili gani wewe?
 
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?

Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?

Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguza vyanzo gani?
Acha mihemko na mahaba
 
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?

Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?

Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguzaK
Kama kila Mtanzania angetumia muda wake kuchambua utajiri (au umaskini) wake binafsi kwa kiwango kilekile baadhi yetu wanavyotumia kuchambua utajiri wa wengine, bila shaka tatizo la umaskini nchini lingepungua sana, kama siyo kuisha kabisa. Mtu unashinda unasogoa kijiweni au unatumia muda wako kuandika kwenye majukwaa kama hili la Great Thinkers kuhusu utajiri wa fulani unavyozidi wa fulani badala ya kuhangaika upate kitu cha kupeleka nyumbani watoto wale. Mbaya zaidi ni pale unapoandika 'inasemekana' kuwa hivi na vile. Ina maana wala huna uhakika na ukisemacho. Sasa kama Mo anamzidi utajiri Bakhresa, au kinyume chake, unakusaidia vipi wewe kulisha familia yako? Tuache upuuzi wa namna hii. Tuchape kazi kujiongezea kipato.
 
Forbes na Bloomberg hiyo ni kazi/biashara yao na wanalipwa kwa hizo tafiti au data wanazokusanya na wanaaminika kwa ukweli wao ili kuwawezesha wawekezaji wengine kutambuana

Sasa wewe T14 Armata na LICHADI tuambie mnafaidikaje ? na sisi tujifunze ?
Umejibu vizuri sana. Kumbe kuna watu wanajadili utajiri wa watu na kulipwa kwa hiyo kazi. Humu kuna bloggers, waandika research, wanafunzi, wakufunzi na YouTubers kibao wanaanzisha mada kama hizi wanakaa pembeni kuchukua mawazo ya wadau. Hata kwenye umbea ni hivyo hivyo, kila kitu ukikiona cha kijinga kuna mtu palepale anakitumia positively.

Mwaka jana nilibishana na mtu maarufu sana humu JF kwenye mada fulani nzito, kisha nikaja kujua ni lecturer wangu. Kuzungumzia matajiri siachi na mimi sio fukara, na hao Bloomberg na Forbes nawasoma sana. Na story za humu za wamiliki wa makampuni, CEOs, mameneja na watu wazito siziachi.

Wengine hii ni sekta yetu. Huwezi kukuta mtu anataka kuwa mchungaji alafu hawajui kina Christopher Mwakasege. Kama kuna watu hawataki hizi mada wakajadili ufugaji wa bata
 
Back
Top Bottom