LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi?
Bakhresa ana viwanda vingi kama mo, tena vya kisasa kabisa, hadi usafiri wa viwanda vyake ni Scania,volvo mpyaa zimejaa barabarani, mo ni magari magobovu na mapikipiki ya matairi matatu ndio kayajaza barabarani hivi huu utajiri unaangaliwaje?
Bidhaa za Bakhresa zina quality zaidi ya mo, viwanda vya mo wafanyakazi mishahara wanapumulia gesi hivi huu utajiri forbes huwa wanaanzia kuchunguza vyanzo gani?