Mo Dewji kawadanganya tena mashabiki wa Simba?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Na Thadei Ole Mushi.

Watanzania ni wepesi sana wa Kudanganywa. Jana niliandika kuhusu IQ zetu kuwa chini leo tena tumedanganyika.

Kupitia Ukurasa wa Mfadhili wa Simba Mo Dewji ameweka Poster inayoonyesha Simba kuwa moja ya Club 10 kwa Utajiri Afrika.

Nimezunguka kila Pembe ya Mitandao ya Africa ikiwemo CAF yenyewe kuona taarifa hiyo sikuona Popote.

Fuata link kuona alichokipost Mo Dewji.


Kote nilikopita wametaja Club 10 Tajiri kwa Africa kama ifuatavyo..

1. Al Ahaly
2. Kaizer Chiefs
3. Pyramids
4. Club African
5. Zamalek
6. Orlando Pirates
7. Whydad Casablanca
8. TP Mazembe
9. L' Esperance
10. Mc Alger.

Hii ni list ya 2022... fuata link zifuatazo kuona.

1. Mtandao wa Wikisouthafrica


2. Mtandao wa Newshub 360


3.Mtandao wa Briefly Richest football clubs in Africa: Which club is the wealthiest?

4. Mtandao wa Sport Briefy


Mo anaitaja Simba Kama Club Tajiri kutoka Source ipi? Tunatamani kweli kuwa na Timu Tajiri ila sio Utajiri wa Michongo.

Kinachonishangaza mashabiki wa Simba wanapongezana sasa hivi kwenye ulanzi. Kwa nn tunakuwa wepesi hivi kudanganyika?

Hata List ya Timu 10 tajiri 2021 Simba haipo na Hata kiuhalisia Simba haiwezi kuipita hata Azam kwa Utajiri hapa nchini achilia mbali huko Africa.

Cha kushangaza Mashabiki wote wa Simba wana akili za kufanana. Na sijui kwa nn IQ zao zinalingana hata graduate anashindwa kupata data Rahisi kama hizi kwenye Source Mbalimbali.

Ole Mushi
071702602
[3/2, 12:49] +255 717 158 181: Africa's Top 20 most valuable clubs
Al Ahly (Egypt) - €30.75m
Mamelodi Sundowns (South Africa) €21.3m (R382 million)
Zamalek (Egypt) - €20.55m
Pyramids FC (Egypt) - €19.43m
Orlando Pirates (South Africa) €18.15m (R325.9 million)
Esperance Tunis (Tunisia) - €17.63
Kaizer Chiefs (South Africa) - €14.63m (R262 million)
Wydad Casablanca (Morocco) - €13.21m
Etoile Sportive du Sahel (Tunisia) - €13m
CR Belouiszdad (Algeria) - €12.05m
Raja Club Athletic Casablanca (Morocco) - €10.35m
USM Alger (Algeria) - €10.05m
AmaZulu (South Africa) - €9.68m (R173 million)
Paradou AC (Algeria) €9.53m
SuperSport United (South Africa) - €9.48m (R170 million)
ES Setif (Algeria) - €9.2m
Cape Town City FC (South Africa) - €8.88m (R159 million)
Club Sportif Sfaxien (Tunisia) - €8.85m
MC Algiers (Algeria) - €8.83m
US Monastir (Tunisia) – €8.8m
 
Page ya mashabiki hiyo "Simbanation" bosi nae kadandia kichwakichwa.​

 
Tajiri km tajiri alitaka tu mtandao wake uchangamke KWA comment za wadau na alimic matuc ya wanautopolo yangaa ,
 
Ukishajua mashabiki ni mbumbumbu ni kuwalisha matango pori tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mambo ya tik tok sema mwamedi bana nae anapenda sifa sana.
.
Sema uzuri mashabikia wa lunyasi wengi wako juujuu tuu wanafuata upepo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote haya yasingekuwa yanatokea kama Aden Rage asingeongea hadharani kwamba "Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu"

Matokeo yake, Mwamedi akijisikia tu anasema chochote na anajua atashangiliwa tu kwa sababu tu anajua "Mashabiki wa Simba ni deshi deshi..."
 
Inawezekana umejiona mjanja kumbe wewe ndio hujaelewa.....
Kachukua post ya mashabiki wa simba na kuwaambia tutafika na tutafika mbali zaidi.
Akiwaambia ipo siku Simba itakalia hiyo nafasi au ya juu zaidi.
Kolo katika ubora wake...

Yaani unaona kabisa Mwamedi kakazia na caption kwamba "10th Richest Club" halafu unadai kamaanisha ipo siku Kolo watakaalia hiyo nafasi au zaidi ya hapo?!
 
Acha kumfokea tajili Mkuu,
Sisi Matajili japo hata uwanja hatuna
 
Kolo katika ubora wake...

Yaani unaona kabisa Mwamedi kakazia na caption kwamba "10th Richest Club" halafu unadai kamaanisha ipo siku Kolo watakaalia hiyo nafasi au zaidi ya hapo?!
Enheee akikazia hivyo inabadilisha nini nilichosema?
 
Inawezekana umejiona mjanja kumbe wewe ndio hujaelewa.....
Kachukua post ya mashabiki wa simba na kuwaambia tutafika na tutafika mbali zaidi.
Akiwaambia ipo siku Simba itakalia hiyo nafasi au ya juu zaidi.
Ww umemuele vipi hapo mkuu
 
Kwanza mtoa maada anamakengeza, unaposema simba sio wa 10, huyo wa 10 ni nani? Mmeshindwa kutengeneza bla bla za Ukraine saizi umehamia huku, bora ubake huko huko maana Urusi ana element za huruma huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…