Mo Dewji kawadanganya tena mashabiki wa Simba?

Halafu mimi kama mshabiki suala la utajiri halinigusi isipokuwa hatua gani za kimashindano tunafikia.
 
Shabiki wa makolo anazungumzia mikataba ya bilion moja, mbili, wenzako wanaingia mikataba ya mapound ya mamilion. Afu hii sio simba tu hata yanga.
.
Sikia unaweza kuwa una mikataba mizuri kwa Mazingira yetu ya hapa but huwezi kulinganisha na wenzetu wa sauzi na waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usituhusishe watanzania wote na mambumbumbu wachache.
 
Mo mjanja janja anazima soo la 2-0
 
Hivi lile pagala la Makolo linalotumiwa na mama Lishe lina hata choo kweli
 
Tumeshazoea kudanganywa na Boss Mo.

Bil. 25 + Bil. 20 = Bil. 85
 
Sema mo mjanja anamuingiza mtu king na anakuja mzima mzima halafu yeye anatoka
Ukiangalia matukio ya MO utaona kabisa ni ya kumlenga yule chizi aliye yanga na yeye anakuja mzima mzima bila kutafakari.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya tajiri GSM na Mo, huwezi hata siku moja kukuta GSM anaongea pumba pumba na mashudu kama Mo
 
Yaan klabu 10 tajiri alafu bado makolo inaendeshwa kwa hasara hahaha ponjoro panjuani
 
Ole mushi hajasoma caption .. ananidhalilisha Mangi mwenzake
 
Mwamedi anawatesa hamlali usimgizi, siku hizi yuko zake tik tok nyie endeleeni kulia lia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…