KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mshambuliaji tegemeo nipo mkuu.....nileteeni viungo tuHongera,angetoa hizo 300 kabisa ili tufanye vyema.Hasa viungo na washambuliaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshambuliaji tegemeo nipo mkuu.....nileteeni viungo tuHongera,angetoa hizo 300 kabisa ili tufanye vyema.Hasa viungo na washambuliaji.
Ni kupigwa tu.. mchezaji hata timu ya taifa lake hayumo unanunua vipi ml. 200Mchezaji bora anapimwa hata kwa mechi moja, huyo wa kwenu anataka acheze games ngapi?
Simba inatulia katika usajili wewe.. hizo 100 utaona matunda yake
Au nikumbushe kwa Okwi na Samatta tulitumia kiasi gani kusajili..!?
Kama huwezi kukumbuka uliko toka... basi hata unakokwenda huwezi kujua.. Tafakari"2000 years of history"........Bob Marley in the Zion Train.