Mo Dewji kuichukua Simba baada ya miezi mitatu, leo atoa 100 Mil za usajili

Mo Dewji kuichukua Simba baada ya miezi mitatu, leo atoa 100 Mil za usajili

Mchezaji bora anapimwa hata kwa mechi moja, huyo wa kwenu anataka acheze games ngapi?
Ni kupigwa tu.. mchezaji hata timu ya taifa lake hayumo unanunua vipi ml. 200

hawataki kujifunza kwa simba na mtibwa.
 
Simba inatulia katika usajili wewe.. hizo 100 utaona matunda yake

Au nikumbushe kwa Okwi na Samatta tulitumia kiasi gani kusajili..!?

"2000 years of history"........Bob Marley in the Zion Train.
 
MO mjanja sana..anajua simba wachovu watashindwa kutoa hizo milioni 300 zilizobaki..Kitakachofuata watamuuzia timu haraka ili amalizie usajili. Dah...umasikini mbaya sana
 
Back
Top Bottom