Wewe ni nani pale msimbazi?Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana dhidi ya kikosi cha wale mabwana by far kutokana na kuwakisa wachezaji wengi sana niliowataka. Na isivyokuwa bahati wachezaji hao walichukuliwa na mabwana wale. Hivyo tusije kulaumiana.
Taarifa hii ilimshtua kondakta ambae alitaharuki na kuruka kutoka kwenye gari bila kusubiri kuona nini kitatokea..
Kondakta amegundua kuwa ana umri wa miaka 50 Sasa hataki karaha Wala dhambi tena bali anataka kwenda kwa Mungu kihalali sio kwasababu ya Simba. Maana yake msimu huu hatatoa hela yake kwenda kwa mganga, kuhonga marefa, viongozi wa TFF/bodi ya ligi Wala wachezaji ili kupata matokeo; labda wewe Magori ufanye hivyo wewe msimu huu sio mimi. Yeye anataka kwenda mbinguni akiwa safi, ame confess akatema bungo.
.
Nini hasa kinesababisha ateme bungo, kazi nyingi au kuogopa kipigo?
Jiamulie jibu halafu jipe hongera kwa kuweza kujibu. Fanya hili huku unatazama kichwa chako kwenye kioo.Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana dhidi ya kikosi cha wale mabwana by far kutokana na kuwakisa wachezaji wengi sana niliowataka. Na isivyokuwa bahati wachezaji hao walichukuliwa na mabwana wale. Hivyo tusije kulaumiana.
Taarifa hii ilimshtua kondakta ambae alitaharuki na kuruka kutoka kwenye gari bila kusubiri kuona nini kitatokea..
Kondakta amegundua kuwa ana umri wa miaka 50 Sasa hataki karaha Wala dhambi tena bali anataka kwenda kwa Mungu kihalali sio kwasababu ya Simba. Maana yake msimu huu hatatoa hela yake kwenda kwa mganga, kuhonga marefa, viongozi wa TFF/bodi ya ligi Wala wachezaji ili kupata matokeo; labda wewe Magori ufanye hivyo wewe msimu huu sio mimi. Yeye anataka kwenda mbinguni akiwa safi, ame confess akatema bungo.
.
Nini hasa kinesababisha ateme bungo, kazi nyingi au kuogopa kipigo?
Aogope nini sasa? Yy bado ni mwekezaji na kwa majukumu yake anaona hawezi kuwa krb na bod yake mara kwa mara...mbona mnapenda sana kujitesa kwa kuwaza sana?Kwamba hakutema bungo kwa woga au?
Jijibu kisha jipongeze kwa kujijibu huku unajitazama kwenye kioo mkuu. Kuna kitu utagundua.Kwamba hakutema bungo kwa woga au?
Kwani we ni manzi ya Fadlu?Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana dhidi ya kikosi cha wale mabwana by far kutokana na kuwakisa wachezaji wengi sana niliowataka. Na isivyokuwa bahati wachezaji hao walichukuliwa na mabwana wale. Hivyo tusije kulaumiana.
Taarifa hii ilimshtua kondakta ambae alitaharuki na kuruka kutoka kwenye gari bila kusubiri kuona nini kitatokea..
Kondakta amegundua kuwa ana umri wa miaka 50 Sasa hataki karaha Wala dhambi tena bali anataka kwenda kwa Mungu kihalali sio kwasababu ya Simba. Maana yake msimu huu hatatoa hela yake kwenda kwa mganga, kuhonga marefa, viongozi wa TFF/bodi ya ligi Wala wachezaji ili kupata matokeo; labda wewe Magori ufanye hivyo wewe msimu huu sio mimi. Yeye anataka kwenda mbinguni akiwa safi, ame confess akatema bungo.
.
Nini hasa kinesababisha ateme bungo, kazi nyingi au kuogopa kipigo?
Ule ujumbe wake insta umeusoma vizuri? Amesema kwa umri wa miaka 50 anajiona yuko karibu zaidi na kurudi kwa Mungu kuliko kuendelea kuteswa na yaduniani, na hataki tena kundelea kutenda vitendo visivyompendeza Mungu na kanuni (unethical issues) hivyo hataki kuwa karibu na timu tena. Nadhani ushauri huu ameiga au kushauriwa na GSM.Aogope nini sasa? Yy bado ni mwekezaji na kwa majukumu yake anaona hawezi kuwa krb na bod yake mara kwa mara...mbona mnapenda sana kujitesa kwa kuwaza sana?
Kumbeee basi ishalaah.....Ule ujumbe wake insta umeusoma vizuri? Amesema kwa umri wa miaka 50 anajiona yuko karibu zaidi na kurudi kwa Mungu kuliko kuendelea kuteswa na yaduniani, na hataki tena kundelea kutenda vitendo visivyompendeza Mungu na kanuni (unethical issues) hivyo hataki kuwa karibu na timu tena. Nadhani ushauri huu ameiga au kushauriwa na GSM.
Habari mbaya kwa Simba ni kwamba fedha ya mo haitatoka tena kugharamia waganga wa kuroga, kulipa marefa wa ndani na kimataifa na kulipa bodi ya ligi wapange ratiba ya upendeleo. Kazi hiyo amemwachia "kafiri" Magori afanye hayo kama wanasimba bado wanayahitaji.Kumbeee basi ishalaah.....
Wote tuseme aminà
Shida yako iko wapi mbona kama umepanick hivi?? Au mbona kama ni mipasho unatoa sasa...Habari mbaya kwa Simba ni kwamba fedha ya mo haitatoka tena kugharamia waganga wa kuroga, kulipa marefa wa ndani na kimataifa na kulipa bodi ya ligi wapange ratiba ya upendeleo. Kazi hiyo amemwachia "kafiri" Magori afanye hayo kama wanasimba bado wanayahitaji.
Fadlu kasema hana timu imara kwakuwa hana factor x kwenye kikosi chake. Au wewe akili ya kuelewa huna? Kilio hicho na lawama zilimfikia mo. Fadlu amewakosa wachezaji aliowataka hadi ikamlazimu kumlilia JayRute amsaidie Mo kusajiri wachezaji anaowataka. Au wewe huelewi kidhungu?Kwani we ni manzi ya Fadlu?
Jiamulie jibu halafu jipe hongera kwa kuweza kujibu. Fanya hili huku unatazama kichwa chako kwenye kioo.
Shida yangu ni hii hapa, sikilizaShida yako iko wapi mbona kama umepanick hivi?? Au mbona kama ni mipasho unatoa sasa...
Wewe ya Simba utayajulia wapi uko huko mbwinde? Pambaneni na jezi zenu zimedoda madukani.
Diamond akisema ukweli mnakasirika. Ungekuwa na kazi ya kufanya usingepata muda wa kuandika pumba hiiDereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana dhidi ya kikosi cha wale mabwana by far kutokana na kuwakisa wachezaji wengi sana niliowataka. Na isivyokuwa bahati wachezaji hao walichukuliwa na mabwana wale. Hivyo tusije kulaumiana.
Taarifa hii ilimshtua kondakta ambae alitaharuki na kuruka kutoka kwenye gari bila kusubiri kuona nini kitatokea..
Kondakta amegundua kuwa ana umri wa miaka 50 Sasa hataki karaha Wala dhambi tena bali anataka kwenda kwa Mungu kihalali sio kwasababu ya Simba. Maana yake msimu huu hatatoa hela yake kwenda kwa mganga, kuhonga marefa, viongozi wa TFF/bodi ya ligi Wala wachezaji ili kupata matokeo; labda wewe Magori ufanye hivyo wewe msimu huu sio mimi. Yeye anataka kwenda mbinguni akiwa safi, ame confess akatema bungo.
.
Nini hasa kinesababisha ateme bungo, kazi nyingi au kuogopa kipigo?
Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana dhidi ya kikosi cha wale mabwana by far kutokana na kuwakisa wachezaji wengi sana niliowataka. Na isivyokuwa bahati wachezaji hao walichukuliwa na mabwana wale. Hivyo tusije kulaumiana.
Taarifa hii ilimshtua kondakta ambae alitaharuki na kuruka kutoka kwenye gari bila kusubiri kuona nini kitatokea..
Kondakta amegundua kuwa ana umri wa miaka 50 Sasa hataki karaha Wala dhambi tena bali anataka kwenda kwa Mungu kihalali sio kwasababu ya Simba. Maana yake msimu huu hatatoa hela yake kwenda kwa mganga, kuhonga marefa, viongozi wa TFF/bodi ya ligi Wala wachezaji ili kupata matokeo; labda wewe Magori ufanye hivyo wewe msimu huu sio mimi. Yeye anataka kwenda mbinguni akiwa safi, ame confess akatema bungo.
.
Nini hasa kinesababisha ateme bungo, kazi nyingi au kuogopa kipigo?
Anadaiwa na serikali pamoja na wananchi vibaya sana huko kwenye mashamba ya chai na mkonge aliyopewa na Mkapa bila kuyaendeleza. Badala ya kuyaendeleza yeye aliyakopea na kuyaweka bond , Utajiri wa mo unapimwa kimataifa kutokana na kudhaniwa anamiliki ardhi, viwanda vya chai na mkonge ambavyo sio vyake. Ndiyo maana 20b haitokei.Muhimu ni Bil 20 zitolewe🤣🤣🤣
Kumbe Utajiri wa ukanjanja tu🤣🤣🤣Anadaiwa na serikali pamoja na wananchi vibaya sana huko kwenye mashamba ya chai na mkonge aliyopewa na Mkapa bila kuyaendeleza. Badala ya kuyaendeleza yeye aliyakopea na kuyaweka bond , Utajiri wa mo unapimwa kimataifa kutokana na kudhaniwa anamiliki ardhi, viwanda vya chai na mkonge ambavyo sio vyake. Ndiyo maana 20b haitokei.