Mo Dewji kumiliki hisa za klabu ya Simba baada ya kuwa muwekezaji pekee aliejitokeza

Wazee wa simba, makomando watakula wapi na bwana dewji akileta watu wake wasomi na wenye ueledi mkubwa atawaua viongozi wazushi wa simba mfano manara na hapo fujo ndipo huanzia, manake wengine kula yao ipo Simba ,ila MO anania nzuri ila viongozi wenye njaa ,wataiyumbisha club,ngojea tuone
 
Sasa unabisha ama...?

Ni afadhali hili zoezi liende vizuri ili aina ya malumbano kati ya hizi timu yabadilike sasa. Kuna mtu kauliza Aveva anaendeleaje! hilo swali linahusiana vipi na issue hii, na lina faida gani.
 
Ni afadhali hili zoezi liende vizuri ili aina ya malumbano kati ya hizi timu yabadilike sasa. Kuna mtu kauliza Aveva anaendeleaje! hilo swali linahusiana vipi na issue hii, na lina faida gani.
Kweli kabisa mkuu...sasa hivi tutaheshimiana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…