Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex

2709CCEB-7486-4EC2-8062-85FBE567BB0E.jpeg
 
Hata kama ni kweli hamna mfanyabiashara atasema anapata faida kwenye sehemu yenye faida ili wengine wasiwe interested.

Leo akitokea mwingine akisema anataka awekeze bil 40 Simba je Mo ataachia kwa ajili anapata hasara?
 
Kweli kabisa,hakuna mfanyabiashara ama mfanyakazi aliyeajiriwa anayesema pale pananitosheleza utasikia tu hela yao ni ndogo sana yaani malalamiko kama yote,hapo mwambie basi acha kazi kama unaona haikulipi
 
Ametumia lugha ya kibiashara zaidi
Hata kama ni kweli hamna mfanyabiashara atasema anapata faida kwenye sehemu yenye faida ili wengine wasiwe interested.

Leo akitokea mwingine akisema anataka awekeze bil 40 Simba je Mo ataachia kwa ajili anapata hasara?
 
Mpaka sasa amewekeza bilion 85 hahahaha ponjoro bana ipo siku atadai pesa zake au timu yake huyu maana kila anachotoa anakihesabu na risiti anazitunza
 
Huo Ni ukweli Kuwekeza Kwenye Timu yoyote Tanzania Ni Hasara. Kwa Mfanya Biashara Ambaye Yuko Serious Ataelewa Hili.

Kwasababu Timu Za Tanzania Matumizi ni Makubwa kuliko Faida. Tuwe Realistic Tuuu na Tuache Ushabiki Kwasababu Mo Kaongea. Ukweli Kuwekeza Ni Hasara.

Wewe Unawekeza Timu ya Tanzania, Haina Mashindano yoyote inayo shiriki zaidi Ya Ligi kuu Tanzania. Washabiki Wanao Enda Uwanjani Ndio Hao. Ligi inaangaliwa na Watanzania Tuu.

Nani Utamtangazia Biashara zako. So ni Hasara 100% wanao wekeza wanafanya Kwa Mapenzi yao Tuu. Hivi uwekeze Billioni 100 Simba Au Yanga Itarudi Lini na Kwa njia Gani?

Ndio maana Mdhamini wa Ligi anawekeza 2.5 Billioni hela Ambayo ni Mshahara wa Mchezaji wa Al -Ahaly. Hata hawa NBC hawana Muda Mrefu watajiondoa
 
Ashasema hajapata faida. Anapata hasara. Ndo mjue kuwa wadhamini tunapaswa kukaa nao vizuri
Na tujiulize, kama.mpira wetu unalipa, kwann tuna-strugle sana kupata wadhamini????
Hata kama ni kweli hamna mfanyabiashara atasema anapata faida kwenye sehemu yenye faida ili wengine wasiwe interested.

Leo akitokea mwingine akisema anataka awekeze bil 40 Simba je Mo ataachia kwa ajili anapata hasara?
 
Huo Ni ukweli Kuwekeza Kwenye Timu yoyote Tanzania Ni Hasara. Kwa Mfanya Biashara Ambaye Yuko Serious Ataelewa Hili.

Kwasababu Timu Za Tanzania Matumizi ni Makubwa kuliko Faida. Tuwe Realistic Tuuu na Tuache Ushabiki Kwasababu Mo Kaongea. Ukweli Kuwekeza Ni Hasara. Wewe Unawekeza Timu ya Tanzania....
Ingekuwa ni hasara si angeacha kuwekeza. Jezi kaweka mikorokoro kibao alafu anasema hasara?
 
Back
Top Bottom