Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Mwamedi king of janjajanjaMo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Kwasababu hujui kwamba huyu ni mmoja wa investor mkubwa Katika nchi yako tena Hadi Raisi wako aliwahi kwenda kufungua moja ya viwanda vyake!!..sasa sijui kama serikali ina mtambua na kumpa uthamani mkubwa kwenye sekta ya uzalisha na ulipaji Kodi Mimi ni Nani nisione umuhimu wa mtu huyuUkiona mswahili anatetea mhindi ambae hadi wahindi wenzake wanalalamika ujue mtu keshakuwa msukule
Angekua siyo mjanja angeweza kuendesha kampuni kubwa kama Metl yenye viwanda karibia nchi nzima!!.. wakati mwengine tukubali tu mtu aliyefanya makubwa tumpe sifa zakeMwamedi king of janjajanja
Bila Uwekezaji utalipa vipi madktari,Elimu , kilimo sitaki kuamini hujui sifa za mwekezaji!!..huoni utopolo wanavyotapatapa huko Kagame cup unadhani wangepata mwekezaji mbae anafanya kama MO hata nusu tu unadhani hii aibu tungepata?!!..Sasa mtu amewekeza unamsifia vipi? Kwani ametoa msaada.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Zako za kurithi au za kwako mwenyewe ziko wapi?Mo mshamba na bwege tu
Hana haiba nadhani hata hizo mali ni kwa vile nizakurithi
Jinga kabisa
Kuwekeza hapa nchini ni uzalendo tosha kabisa achana na furaha hii wanayopata wanasimba na watanzania Kwa ujumlaUzalendo gani alionao tajiri mwenye busara kama binti wa manzese kwa mfuga mbwa.
Mwenzako kazaliwa Singida na ameshawatumikia watu wake nikukumbushe tu wafanyakazi wengi ni watanzaniabaniani hawezi kuwa mzalendo never ..huyo uzalendo wake ni pakistan