MO Dewji mzalendo

MO Dewji mzalendo

Francis fares Maro

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2021
Posts
1,227
Reaction score
1,339
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..

Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!

Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
 
Mwamedi king of janjajanja
 
Ukiona mswahili anatetea mhindi ambae hadi wahindi wenzake wanalalamika ujue mtu keshakuwa msukule
Kwasababu hujui kwamba huyu ni mmoja wa investor mkubwa Katika nchi yako tena Hadi Raisi wako aliwahi kwenda kufungua moja ya viwanda vyake!!..sasa sijui kama serikali ina mtambua na kumpa uthamani mkubwa kwenye sekta ya uzalisha na ulipaji Kodi Mimi ni Nani nisione umuhimu wa mtu huyu
 
Binafsi sio shabiki wa simba, ila njaa ndio zinamfanya Mwarabu Wa Nguruka (Haji Manara) kutunishiana misuli na tajiri number 13 Africa. Bado anakwenda mbele mtoto wa kiume mzima anatoleana maneno na mipasho vs msichana (Barbara) kwenye mitandao kama vile wamechukuliana bwana.

Aachwe tu aongee mpaka kwa kutumia makalio kama anaweza, akichoka atanyamaza na njaa zake. Kama angekua na akili angekaa zake kimya.
 
Mo mshamba na bwege tu

Hana haiba nadhani hata hizo mali ni kwa vile nizakurithi

Jinga kabisa
 
Mwamedi huko uliko, inabidi uwe na furaha tu.
Nimetafiri, hao wanaokudhihaki ni vijana tu wa mtaaani wanataka kukujaza upepo tu.
Basi ukikasirika wao wanafuraaahi hadi wanajamba.
Wengi wanakunywa pombe ya Wanzuki.
Na Pingu, Ambayo ukiinywa lazima ujinyee.
Tunayokunywa hiyo pombez tunavaa trakisuti ili tuweze kufunga kamba vigokoni.

La Wanzunki inatambaa nguoni.
Kama hujaelewa, waulize wakongwe wata kufafanuliaz
 
Seriously MO? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..

Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!

Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
 
baniani hawezi kuwa mzalendo never ..huyo uzalendo wake ni pakistan
 
Back
Top Bottom