Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Kwani lazima kumfollow huyo kiroporopo? Mpira pesa siyo uswahili!

Pesa za Mo zimempa umaarufu baada ya Simba sc kuanza kufanya vizuri kisoka Nje na hapo manara hakuwa na umaarufu wowote zaidi ya utapeli wa mjini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…