Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] Platinumz
Screenshot_20210805-184409_Instagram.jpg
 
Kwani lazima kumfollow huyo kiroporopo? Mpira pesa siyo uswahili!

Pesa za Mo zimempa umaarufu baada ya Simba sc kuanza kufanya vizuri kisoka Nje na hapo manara hakuwa na umaarufu wowote zaidi ya utapeli wa mjini tu.
 
Back
Top Bottom