financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
😂😂 kwani mi nime ku haji manara wapi mkuu hadi ununfollow?halafu hata mie nime kuunfollow mbona hawajaanzisha uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 kwani mi nime ku haji manara wapi mkuu hadi ununfollow?halafu hata mie nime kuunfollow mbona hawajaanzisha uzi
wew nikati ya viumbe msio jielewa.sasa hapa unasema nin?Kwani lazima kumfollow huyo kiroporopo? Mpira pesa siyo uswahili!
Pesa za Mo zimempa umaarufu baada ya Simba sc kuanza kufanya vizuri kisoka Nje na hapo manara hakuwa na umaarufu wowote zaidi ya utapeli wa mjini tu.
Kama hujaelewa nilichoandika Basi we ni mshennnzzy Fulani hivi,wew nikati ya viumbe msio jielewa.sasa hapa unasema nin?
mixer birianiDah kwel nyapu hatari [emoji1787]
Yeap, juzi ametimiza miaka 30 kamili na kufanya Birthday party matata sanaLemutuz bado yupo?
Hivi insta ina 12 yrs now eh[emoji52][emoji52]Mbona tupo wengi tu ambao hatujamfollow diamond mi tangu niingie insta 12 years hakuna msanii wa bongo niliyemfollow kabisaa ila watu maarufu ambao sio wanamuzik au waigizaji wengi nimewafollow
Tujiulize, hivi Diamond ana umuhimu gani kwa Simba, anawalipa nani pale na anachangia nini ndani ya club? Simba haikuwa na umuhimu wa kumpa ajira Manara, kale kajamaa ni kapashikuna tu, hakana umuhimu wowote ndani ya club. Arudi kwao Kigoma akaroge.Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Itakua insta yake mwenyew [emoji1787]Hivi insta ina 12 yrs now eh[emoji52][emoji52]
HAhahah🤣🤣 Hata manara na Mo +BRB wameunfollowiana.
Hata mimi kama ningekuwa Mo ninge-unfollow domo maana hana umuhimu ndani ya timu ninayo imiliki, hana mchango wowote ule, why follow him?Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Kama ni hivyo kwanini alimfollow?Hata mimi kama ningekuwa Mo ninge-unfollow domo maana hana umuhimu ndani ya timu ninayo imiliki, hana mchango wowote ule, why follow him?
Unfollow haina swaga kwa kiswahiliKutofuata=Unfollow, Fuata=Follow