Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Kwani lazima kumfollow huyo kiroporopo? Mpira pesa siyo uswahili!

Pesa za Mo zimempa umaarufu baada ya Simba sc kuanza kufanya vizuri kisoka Nje na hapo manara hakuwa na umaarufu wowote zaidi ya utapeli wa mjini tu.
wew nikati ya viumbe msio jielewa.sasa hapa unasema nin?
 
wew nikati ya viumbe msio jielewa.sasa hapa unasema nin?
Kama hujaelewa nilichoandika Basi we ni mshennnzzy Fulani hivi,

Mtu mwenye akili timamu hawezi kushindwa kuelewa post yangu.
StpD!
 
Mbona tupo wengi tu ambao hatujamfollow diamond mi tangu niingie insta 12 years hakuna msanii wa bongo niliyemfollow kabisaa ila watu maarufu ambao sio wanamuzik au waigizaji wengi nimewafollow
Hivi insta ina 12 yrs now eh[emoji52][emoji52]
 
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Tujiulize, hivi Diamond ana umuhimu gani kwa Simba, anawalipa nani pale na anachangia nini ndani ya club? Simba haikuwa na umuhimu wa kumpa ajira Manara, kale kajamaa ni kapashikuna tu, hakana umuhimu wowote ndani ya club. Arudi kwao Kigoma akaroge.
 
Back
Top Bottom