Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
Unaweza ukawa uko sahihi japo bado sijajiridhisha kwenye hilo la kuwa kina maneno/misamiati ya kutosha.Hahaaa kiswahili ni kipana na kina misamiati mingi tu mkuu
Sema ni vile tu wengi hatukijui kile kiswahili chenyewe chenyewe
Mtu anaweza akakuandikia para hapa ukaisoma hata mara kumi kumi na usiambulie kitu kabisa lakini mwenzio anakuambia katumia lugha ya kiswahili