Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Hahaaa kiswahili ni kipana na kina misamiati mingi tu mkuu

Sema ni vile tu wengi hatukijui kile kiswahili chenyewe chenyewe

Mtu anaweza akakuandikia para hapa ukaisoma hata mara kumi kumi na usiambulie kitu kabisa lakini mwenzio anakuambia katumia lugha ya kiswahili
Unaweza ukawa uko sahihi japo bado sijajiridhisha kwenye hilo la kuwa kina maneno/misamiati ya kutosha.
 
Diamond ajiangalie sana, he is too young kujiingiza kwenye Vita kati yake na business mogul.

Mo hajaanza biashara Jana na ana uzoefu wa biashara kubwa sana dogo anaingia kwenye vita isiyomhusu kabisa.

BTW anajiingiza upande waManara ambaye is a loser dogo huu sio muda wa kuingiza brand ya wasafi kwenye Vita za kitoto.

Anapaswa kufahamu ameingia kwenye corporate world akae kibiashara sio kuleta beef za kitoto. Mo anaweza fitna za kibiashara na ana uzoefu over years huu sio muda kwa wasafi kujiingiza kwenye ugomvi usio na maslahi yoyote ya kibiashara zaidi anapoteza business relationship na possible clients.

Mo Hana media na ana conflict of interest na AZAM sababu wote Wana timu za mpira na wanatengeneza vinywaji baridi na other products zinazofanana kama juice, maji, ice cream nk. Hiyo ni fursa kwa Wasafi lakini akiendekeza ugomvi wa kitoto wa kiswahili atakosea sana.

Mo sio akina Petitman au Harmonize yule ni business mogul angetumia nafasi hiyo kujifunza kwake pia.

It's just a fair comment from my side.
Wapi ambapo mondi ametangaza vita na Mo? Tuanzie hapo kwanza
 
Hana hela yyte Yule mhuni Tu huyo Mo wako, ukiunganisha dot huyo Mo wako ni siasa tuu, kuanzia drama za Maghufuli, matukio ya manara, malalamiko ya wafanyakazi wake kuhusu maslahi na sarakasi za uwekezaji Simba ni tofaut kabisa na tunavyoaminishwa kuwa ni tajiri wa Africa , mambo ni tofaut Kwa silent killer kama Bakhresa , hustle zake zinaonekana na nchi inaenjoy uwekezaj wake , na Mzee wa watu hajawah ingia kwenye mvutano na high command ...!! Mo ajiangalie na huyo CEO wake..,!!
"mambo ni tofaut Kwa silent killer kama Bakhresa"

[emoji106]
 
Diamond ajiangalie sana, he is too young kujiingiza kwenye Vita kati yake na business mogul.

Mo hajaanza biashara Jana na ana uzoefu wa biashara kubwa sana dogo anaingia kwenye vita isiyomhusu kabisa.

BTW anajiingiza upande waManara ambaye is a loser dogo huu sio muda wa kuingiza brand ya wasafi kwenye Vita za kitoto.

Anapaswa kufahamu ameingia kwenye corporate world akae kibiashara sio kuleta beef za kitoto. Mo anaweza fitna za kibiashara na ana uzoefu over years huu sio muda kwa wasafi kujiingiza kwenye ugomvi usio na maslahi yoyote ya kibiashara zaidi anapoteza business relationship na possible clients.

Mo Hana media na ana conflict of interest na AZAM sababu wote Wana timu za mpira na wanatengeneza vinywaji baridi na other products zinazofanana kama juice, maji, ice cream nk. Hiyo ni fursa kwa Wasafi lakini akiendekeza ugomvi wa kitoto wa kiswahili atakosea sana.

Mo sio akina Petitman au Harmonize yule ni business mogul angetumia nafasi hiyo kujifunza kwake pia.

It's just a fair comment from my side.
Pumba tupu.
 
Mzee Mond Hana vita yyte na Mwamed...hii umetoa wapi ww?
 
Hebu tuirejee post ya Diamond:-

Ukiacha Upenzi wangu wa team ya Simba ambao kiukweli umetokana na ushawishi wako... lakini kama Mtanzania ninaependa maendeleo ya Tasnia ya Michezo, nimeumia kutokuwepo kwako tena Simba... Licha ya kuiongezea Hamasa, Ushawishi Team yetu ya Simba, lakini kupitia Mbwembwe zako za usemaji, utani kwa Yanga na team mbalimbali ulifanya Tasnia ya Michezo kuchangamka zaidi na hata ambao tulikuwa si wafatilia kandanda kuanza kufatilia, kuhudhuria na kwa namna moja au nyingine Tasnia ya Mpira wa miguu kuongezeaka pato zaidi...Inshallah Mwenyez Mungu ajalie kheri yake siku moja haya yote yaishe na urejee tena kuwa msemaji wa SIMBA...kwasababu kiukweli Shabiki wa kweli wa SIMBA kuondoka kwako lazma kumuumize, maana thamani ya mchango wako Simba Unafahamika.....Inshaallah Mwenyez Mungu Azidi kukufungulia Kheri, Akulinde na Akuepushe na kila baya 🙏🏼 @hajismanara
Sasa kuna kipi hapo kibaya alichoongea?! Hajamsema Mo wala kademu kake! Hajaisema Simba wala kukejeli kutimuliwa kwa Manara!! Alichofanya ni kuonesha masikitiko yake kutokana na kuondoka na wala sio kutimuliwa kwa Manara! Na alichosema ni ukweli mtupu! Tofauti na Ally Kiba ambae ni mpenzi na mchezaji wa soka, Diamond haonekani kuwa mpenzi wala shabiki wa soka. Majority tulikuja kufahamu kumbe nae ni Simba juzi tu hapa kutokana na huyo Manara!!

Binafsi sijaona baya lolote alilosema zaidi ya utoto utoto wa Mudy na Demu wake.
 
Back
Top Bottom