Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Seems hii ya kusitisha kufuata imeleta maana zaidi ya Kutofuata shukran kwa marekebisho mkuu
 
Siko upande wowote ule......

Ila kila mmoja wa hizo pande ana haki ya kusimamia MASLAHI YAKE.....

Dunia inakwenda kasi sana ,HAIWEZEKANI kufanyana TAMBARA LA DEKI....watu wanazidi kuelimika ,watu wanazidi kuamka KIDIJITALI.....

My take: Kweli rafiki yako wa leo ndio adui yako wa kesho......

Namkumbuka sana Komredi Haji Buggati Manara alivyomshambulia na kumzodoa dada Prisca Kishamba 🤣🤣🤣

Watu walikaa kimyaaa....

Aaagh inawezekana hasira za Manara kwa dada Prisca nazo zilikuwa "kimaslahi"?!! 🤣🤣Who knows......

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Tanzania hatujafika hatua ya kususa,bidhaa zitanunulika tu

ingekuwa kususa ilikuwa kwenye baada ya Derby ya k/Koo kuhairishwa na watu wameshalipa viingilio

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa kiswahili ni kipana na kina misamiati mingi tu mkuu

Sema ni vile tu wengi hatukijui kile kiswahili chenyewe chenyewe

Mtu anaweza akakuandikia para hapa ukaisoma hata mara kumi kumi na usiambulie kitu kabisa lakini mwenzio anakuambia katumia lugha ya kiswahili
 
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Diamond ajiangalie sana, he is too young kujiingiza kwenye Vita kati yake na business mogul.

Mo hajaanza biashara Jana na ana uzoefu wa biashara kubwa sana dogo anaingia kwenye vita isiyomhusu kabisa.

BTW anajiingiza upande waManara ambaye is a loser dogo huu sio muda wa kuingiza brand ya wasafi kwenye Vita za kitoto.

Anapaswa kufahamu ameingia kwenye corporate world akae kibiashara sio kuleta beef za kitoto. Mo anaweza fitna za kibiashara na ana uzoefu over years huu sio muda kwa wasafi kujiingiza kwenye ugomvi usio na maslahi yoyote ya kibiashara zaidi anapoteza business relationship na possible clients.

Mo Hana media na ana conflict of interest na AZAM sababu wote Wana timu za mpira na wanatengeneza vinywaji baridi na other products zinazofanana kama juice, maji, ice cream nk. Hiyo ni fursa kwa Wasafi lakini akiendekeza ugomvi wa kitoto wa kiswahili atakosea sana.

Mo sio akina Petitman au Harmonize yule ni business mogul angetumia nafasi hiyo kujifunza kwake pia.

It's just a fair comment from my side.
 
Hana hela yyte Yule mhuni Tu huyo Mo wako, ukiunganisha dot huyo Mo wako ni siasa tuu, kuanzia drama za Maghufuli, matukio ya manara, malalamiko ya wafanyakazi wake kuhusu maslahi na sarakasi za uwekezaji Simba ni tofaut kabisa na tunavyoaminishwa kuwa ni tajiri wa Africa , mambo ni tofaut Kwa silent killer kama Bakhresa , hustle zake zinaonekana na nchi inaenjoy uwekezaj wake , na Mzee wa watu hajawah ingia kwenye mvutano na high command ...!! Mo ajiangalie na huyo CEO wake..,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…