Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

Mo Dewji na plagiarism kutoka NY Times

Dah, Dewji ameingia choo cha wanawake na amjisaidia kwa style ya kike!

Mheshimiwa huyu ni kundi moja na GT pamoja na January Makamba.!! Waje hapa wamtetee. BIRDS OF...........FLOCK TOGETHER!!
 
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo
 
Chukua tano mkuu!!!

a real man stand up and be counted.... sidhani kama ni kosa kuendelea ku-cite, cha maana ni kuweka source tu mkuu, la sivyo hatutafika!!!

It was a good intention na sasa tunataka solution ya tatizo la umeme
 
Ndo wana siasa wetu hao ni graduate wa George Town university huyu!
 
Mohamed Dewji said:
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo

Mh.Dewji,

..we accept your apologies.

..but, what drove you into translating the NY Times article into Swahili?
 
tafuteni post yangu kwenye ile thread ya Mo Dewji kisha mtajua nilimaanisha nini
 
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo

Lakini na wewe hiyo mada yako iko hapa siku kadhaa sasa. Kwa nini hukuja mapema na kuweka citation(s) hadi ulipouumbuliwa?
 
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo
Kikubwa ni zote ndugu, hapo nilipo highlight naona bado hujitii hii unethical behaviour uliyofanya kwa mtu wa calibre yako...mada si yako hilo ndilo tatizo??
 
Usisahau siku nyingine humu ndani kuna vichwa vimetulia vikifanywa intrinsic analysis ya kila kinachoandikwa!
 
Hon. MO sorry, I'm not convinced by your reasons/arguments, apology received though. Sing it along... Plagiarism is a CRIME oh...
 
Wanajamii Forums......mimi ni binadamu hivyo kama wengine nilisahau kuwrite citations pale chini lakini ofcourse the article from NY Times made me write the article in Swahili my intentions were not bad......nilikuwa najaribu ku highlight tatizo la umeme sasa kama nimewakosea wengine kwa kuchukua info ya article hiyo basi my sincere apologies to them na kosa halitarudiwa sawa wadau........I would try to cite in future articles....lakini kikubwa ni mada na Tatizo nililokuwa nazungumzia

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika

Ninarudia kwa wale waliokuwa offended na my articles please i offer my sincere apologies kwa sababu sikucite hiyo references....but my intentions were to highlight the problem throughout Africa and propose the solution....

Mo

- Mheshimiwa Mbunge heshima yako sana, umesikika tena loud and clear huna haja ya kurudia rudia anything, a real man/leader ana simama na kubeba msalaba wake as you did,

- Ni vyema Mheshimiwa Zitto naye akajifunza your humbleness, badala ya kusingizia "nia mbaya" na kususa, wewe hukususa wala kulaumu wengine kwa matatizo yako wenyewe, badala yake umekuja hapa as a man/leader na kusema I am sorry, Full Stop!

- I am down and You have my Respect!

FMEs!
 
Semilong nakukubali,

Mtu kaangalia article tu kaona mbona haya mawe hayajakaa ki-Dewji? Kweli bwana, ku-google vitu vikajipa pwaaaa. I mean even the perspective was dilapidated, mbunge wa bongo anaongelea ukanda mzima wa Afrika kutoka Accra mpaka Luanda!

Enzi za kiongozi kuona vitu kwenye televisheni na kesho kuja kuhutubia watu kwamba ameota, ana vision etc zimeisha. Inaelekea huyu Dewji anaona ubunge haumtoshi, anataka kuwa John Mashaka pia. Angalau John Mashaka anapochota kutoka magazeti ya magharibi hujaribu kuandika mambo kwa maneno yake, huyu Dewji ndio kaiba verbatim.

Inatapisha.

Lakini cha kutia moyo ni kuona mheshimiwa mbunge amekubali makosa na kitu cha muhimu sasa ni kuangalia isues zilizotajwa.
 
Huyu jamaa sijui ataomba lini msamaha ku-plagiarise historia ya valentines. Anaweza kuja kuwa mbunge huko mbeleni.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=niSEYDHrKBY"]http://www.youtube.com/watch?v=niSEYDHrKBY[/ame]​

Hebu tujaribu kumwongezea hits.
 
Mh. Dewji,

Ninakubaliana na hoja yako, lakini isiishie kusaka umaarufu huku kwenye forums na kwenye blogs. Wewe ni Mwakilishi wetu Bungeni una platform ya kutoa mawazo/maoni na kuihoji serikali kuhusiana na swala zima la tatizo la umeme nchini.

Ombi langu kwako ni moja, chukua hatua ya kushawishi wabunge wenzako ili kuishinikiza serikali ya CCM iachane na hii biashara ya kushughulikia tatizo la umeme kwa njia ya dharura, matokeo yake tunaendelea kuliwa kila siku. Tatizo la umeme lilishakuwa ni mradi wa watu kula tangu ilipoanza IPTL na mwendelezo wa makampuni mengineyo mpaka kwa marehemu Richmond aliyerithiwa na Dowans.

Kwa kuwa wewe ni Mbunge wa CCM basi ni rahisi sana wabunge wenzako wa CCM wakakuelewa kwamba una nia njema, na siyo kile kisingizio kwamba hoja ikitolewa na wapinzani basi inakuwa na lengo la kutafuta umaarufu na siyo kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo la umeme.

Nikiangalia umeshuka point za muhimu sana kwenye kuelezea tatizo la umeme Afrika. Hebu jaribu kuandaa hoja binafsi itakayokuwa inaongelea tatizo la umeme Tanzania na jinsi ambavyo nchi imekuwa ikiliwa kuanzia tulipoanza kushughulikia tatizo la umeme kwa njia ya dharura kuanzia enzi za IPTL mpaka zama za marehemu Richmond na mrithi wake Dowans. Onyesha hasara ambazo zinajitokeza kwa kutokuwa na umeme wa kuaminika, onyesha jinsi tunavyoingia mikataba ya ajabu ajabu kwa dharura hizo na hatimaye elezea umuhimu wa umeme ambao reliable kwa ajili ya kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, then finally toa mapendekezo ya nini kifanyike ikiwemo hiyo ya kushirikiana na nchi nyingine ama kuangalia uwezekano wa kupata funds kutoka kwa wafadhili ama kuomba mikopo yenye riba nafuu ili tuweze kuwekeza kwenye mradi mmoja mkubwa na tutakuwa tumeagana na tatizo la umeme moja kwa moja.

Kwa njia hiyo utakuwa umetusaidia sana watanzania na utakuwa umechangia pakubwa sana. Haya mambo huwa yanaanza kidogo kidogo na then serikali inaamka toka usingizini na hasa kama ikiona kuna msukumo mkubwa kutoka Bungeni na hasa kama wanaoisukuma ni wabunge wa chama chake, lazima itaona kwamba kuna mahali hapako sawa.

Bado hatujachelewa sana kuna vyanzo vingi sana vya maji ambavyo vinaweza kutumika kuzalisha umeme. Kama swala la ni gharama, bado kuna opportunity ya kushirikiana na nchi za jirani na ikiwezekana kuomba mikopo kutoka kwa wafadhili. Once tukiwa na chanzo cha umeme cha kuaminika, tatizo la umeme litabaki kuwa historia na hakutakuwa na ulaji mwingine wa umeme wa upepo ama sijui akina Dowans hawawezi kuja tena.
 
Duh! Kama hili ni la kweli basi waliompa 'thanks' kibao inabidi wakachukue 'thanks' zao haraka sana. Natumai atakuja kujieleza kulikoni hizo articles zikashabihiana kiasi hicho.
 
Keshajialeza, jaribu kupitia kurasa za nyuma...
 
Msitake kumwonea Dewji. Yeye si wa kwanza na hatakuwa wa mwisho kufanya hivyo. Hapa hatuko chuoni. Si kosa kubwa kama ambavyo unataka kulifanya.

Amandla.......
umenishangaza kwani kosa anaangaliwa wa mwisho na wa kwanza au kwa sababu ni MO...🙁
 
Aisee MTM hapa Bongo kila kitu kinawezekana mhhhhhhh
 
It would have been easy for Mo to give it ti us as a translated version of the orginal article. As a repreentative of the people being accused of plagiarism is quite nasty - surely, Mo owes all readers and the original author an apology.
 
Back
Top Bottom