Mo nishampa vidonge vyake kwa plagiarism. Bahati nzuri sana yuko sensible na kawahi kuja ku apologize hapa, kwa hiyo on account of plagiarism mimi nishamsamehe kwani hata mimi ni binadamu nakosea na kuomba msamaha. Kukosa hubris kwake kunanikosesha steam ya kuendelea ku beat a dead horse on that very issue, mtu yeyote aliye civilized anaelewa maana ya kuombwa msamaha.Kuna wahafidhina humu hawaambiwi hivyo.
Nilkienda deeper zaidi ya hii incident, nikiangalia trends na concepts, Mo ni part ya uongozi wa kidanganyifu na hii plagiarism ni tip of the iceberg tu, ni part ya uongozi mzima uliozoea fraud, unaoweka umuhimu katika the appearance kuwa tunafanya kitu kuliko kufanya kitu. Ndio uongozi huu huu ulioiba kura certainly Zanzibar na kumrudisha komandoo kwenye power illegally - wakuu wa usalama wenyewe wameniambia hili, halina mjadala kwa wanaojua, baba Nyerere, the mantle of decency bongo, alii rape democracy Tanzania- sasa unategemea nini kutoka kwa Mo.
Nimeeleza hapo juu baba Nyerere alivyoanzisha mizizi ya plagiarism Tanzania.huyu Mo - while he is not to be ignored- ni ki sea urchin tu katika food chain.
Kwa Mo, ni muhimu kujulikana kwamba ana ideas hizo za ki-New York Times zaidi ya kuzifanyia kazi yoyote.
Sasa hivi siwezi hata kutaka kumu-engage kwenye issues kwa sababu hajamake a coherent Tanzanian case, ame copy NYT na kutupa a NYT, theoretical, supranational approach sehemu ambapo hata intertrade tu kati ya hizi nchi ni kazi, hizi nchi zinafanya trade na west zaidi kuliko zinavyofanya intertrade kati yao, leo unataka zi pull resources pamoja ziwe na HEP?
Thank god for South Africa and Egypt, ama sivyo hata kwenda Nigeria ingebidi tufanye two layovers, one possibly some place twice or more as far as Nigeria, possibly even in Southern Europe.
Huko Congo hatujui miezi sita ijayo nani atakuwa rais, leo unataka tuwekeze pamoja miradi ya mabilioni ya pesa?
Guinea wamemchabanga rais wao risasi, wanajeshi wanaranda randa ovyo Conakry, hatujui nini kitafuata, leo unataka tuwekeze mamia ya mamilioni ya dola pamoja?
Huyu Dewji anameza ndoano ya economic hitmen moja kwa moja, bila hata ya kuimung'unya.Copy paste, huyu ndiyo new leadership yetu huyu, tena katoka Georgetown sijui, bakwambia huko Georgetown siku hizi hela tu, kila kapuku anaingia.
Juzi January Makamba kafanyiwa interview kwenye blog ya Mo (the same Mo?) wacha ataje mitabu hiyo, sijui Gun Gems and Steel sijui nini, lakini kaongea bio, kakataa kuongea policy.Kwa nini? Hana cha kuongea, na huyo aliyemhoji ni goon wake, hana alichomhoji.
Kwa hiyo, while I accept his apology and all, ningetaka kujua baada ya kucopy, translate na kuacha halfway (ameshindwa hata kutranslate the full article at least tungemuita translator) anafanyaia kazi gani haya mambo.ten yeye kama mtoto wa privilege anatumia privilege yake na business connections zake vipi kuwasaidia watu, kuwaongoza watu.
Viongozi wetu wanataka kuonekana wanajua na wanafanya kazi, hawana nia ya kufanya kazi na kutatua matatizo. Wangekuwa na nia ya kutatua matatizo wasingekuwa na muda wa ku-plagiarize.