Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo ! Hii si mara ya kwanza kuonesha dhamira hii.Bahati mbaya itamchukua muda sana wenye klabu kulielewa hili somo. Pia ningemshauri anunue klabu nyingine awekeze ,ikifanya vizuri washabiki tutakuja tu.Hata mwenye Azam nadhani aliwahi waza kama yeye ikambidi aanze kivyake! Asisahau wale makomandoo wataishije?!Hapa tusidanganyane, mpira ni biashara na Mo ni mfanyabiashara. Ni upuuzi kusema asipewe timu kisa atafaidika. Tujiulize sasa hivi timu ni ya wanachama ww kama shabiki unafaidika nini zaidi ya ushindi wa timu? Mo kawapa changamoto ni wakati wa wanasimba kubadili mfumo timu iwe kampuni wenye kutaka hisa wanunue tusioweza tubaki ushabiki.
Kila siku tunashabikia timu za ulaya huwa tunafaidika vipi?
Tuache roho mbaya, mwenzetu kaona hii fursa kama tuna uwezo tucompete nae kwa kupanda dau na si majungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !! Umeniacha hoi mkuu! Soka la enzi za ujima.Sis simba hatutaki hilo tunachotaka ni kuendelea kuizomea Yanga tu wazee wa 3
Hao uliowataja ndio wanaoiua Simba.Maslahi ya wakomandoo wahakikishie tu Mo mbona wanakubali tu,hapo kina washinda maslahi yao yatakuwa wapi?
Umeona mkuu huyu jamaaa anataka kujitajirisha kupitia sis mikiaAngeanzisha club mpya tu
Why Simba? Huyu jamaa si alikuwa na club yake - sijui iliitwa "leon"? Ilimshinda? Why asianze kama Bakhresa na Azam? Ameona nini?Jamani kwanini hapewi huyu mtu simbayetu!!
naamini atatusaidia sana
Binafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!
Ametoa utetezi kua, Aliachana na African Lyon, sababu alienda uwanjani akakuta Timu haina mashabiki, mbona AZAM imeweza, imepata wapi mashabiki.. Anatikiwa kujichunguza zaidHapo chacha Mkuu! Ajabu hilo!
Simba na Yanga.TBL imegoma kuwapa simba mkataba mpya