jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli!
Je, Mo ni laghai?
Je, Mo ni laghai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako yule ni mdhamini ama mpigaji?Unamwita mdhamini wako laghai
Mtimueni kama mna ubavu.Kwa akili yako yule ni mdhamini ama mpigaji?
Ndiyo ajabu leo yeye ameweka kwenye ukurasa wake wa tweeter akidai eti ni leo yupo huko watu wamefukunyua weeee ndiyo kujiridhisha si ya leo.Mbona kama picha imewekwa na Dimba?
Aisee. Anyways, hata hivyo si tabu atimize tu majukumu yake Simba. Hayo mengine atajua mwenyewe na ucelebrity wake.Ndiyo ajabu leo yeye ameweka kwenye ukurasa wake wa tweeter akidai eti ni leo yupo huko watu wamefukunyua weeee ndiyo kujiridhisha si ya leo.
Ukiona hivyo anawapanga na anataka kuja na project ya uongo awabamize tena hhhhAisee. Anyways, hata hivyo si tabu atimize tu majukumu yake Simba. Hayo mengine atajua mwenyewe na ucelebrity wake.
Unataka kusema kuna kaproject janja janja?Ukiona hivyo anawapanga na anataka kuja na project ya uongo awabamize tena hhhh
Haswaaa kama kale ka changia uwanjaUnataka kusema kuna kaproject janja janja?
😂😂😂Haswaaa kama kale ka changia uwanja
Jiandaeni kupigwaKwa hiyo anamlaghai nani?
Wewe hapa umemfuatilia nani, kwani? 🙂Usipende kumfatilia mwanaume mwenzio
Mbaya zaidi si ya leo hiyo pichaTapeli huyo. Hata utajiri ni Baba yake sema yeye kapewa asimamie mali ya familia. Kanapenda kaonekane matawi ya juu haka ka Mo. Yaani kupiga picha nje ya jengo la Juventus ndo anasema anajadiliana 😂😂😂😂.