Mo Dewji ni laghai?

Mo Dewji ni laghai?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli!

Je, Mo ni laghai?
 
20220108_122309.jpg
 
Ndiyo ajabu leo yeye ameweka kwenye ukurasa wake wa tweeter akidai eti ni leo yupo huko watu wamefukunyua weeee ndiyo kujiridhisha si ya leo.
Aisee. Anyways, hata hivyo si tabu atimize tu majukumu yake Simba. Hayo mengine atajua mwenyewe na ucelebrity wake.
 
Tapeli huyo. Hata utajiri ni Baba yake sema yeye kapewa asimamie mali ya familia. Kanapenda kaonekane matawi ya juu haka ka Mo. Yaani kupiga picha nje ya jengo la Juventus ndo anasema anajadiliana 😂😂😂😂.
 
Mbaya zaidi si ya leo hiyo picha
 
Back
Top Bottom