Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapenda ila hii komenti yako! 🙂 Hapo amefanya kosa gani? Au mnataka naye ajiuzulu kama Spika Ndugai?Tapeli huyo. Hata utajiri ni Baba yake sema yeye kapewa asimamie mali ya familia. Kanapenda kaonekane matawi ya juu haka ka Mo. Yaani kupiga picha nje ya jengo la Juventus ndo anasema anajadiliana 😂😂😂😂.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hao ni JUVE wamemu edit MO
Ndio tatizo la kuwa tajiri kila mtu anataka kupata umaarufu kupitia wewe
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Boss wetu amewekeza Bil. 85 kwenye timu yetu pendwa ya Simba.
Alianza na Bil. 25 alafu ikafuata Bil. 20 jumla zimekuwa Bil. 85.
Ongera sana Boss Mo ila hesabu zimenipiga chenga tokea nikiwa chekechea kumbe 25+20=85!