Mo Dewji ni laghai?

Mo Dewji ni laghai?

Na huu uzi tunajadili jukwaa la siasa?
 
Tapeli huyo. Hata utajiri ni Baba yake sema yeye kapewa asimamie mali ya familia. Kanapenda kaonekane matawi ya juu haka ka Mo. Yaani kupiga picha nje ya jengo la Juventus ndo anasema anajadiliana 😂😂😂😂.
Sijapenda ila hii komenti yako! 🙂 Hapo amefanya kosa gani? Au mnataka naye ajiuzulu kama Spika Ndugai?
 
Boss wetu amewekeza Bil. 85 kwenye timu yetu pendwa ya Simba.

Alianza na Bil. 25 alafu ikafuata Bil. 20 jumla zimekuwa Bil. 85.

Ongera sana Boss Mo ila hesabu zimenipiga chenga tokea nikiwa chekechea kumbe 25+20=85!

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom