Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

We mat*ko hao vijana wa Senegal na Ghana utawalipa nini? hivi kati ya Mo na Simba nani anamtapeli mwenzake unawaza kweli wewe?
wanachokitaka vijana ni kutoka kwenye mpira. Mshahara mmoja wa Ajibu ambae hana kazi zaidi ya benchi unaweza kulipa hadi vijana wanne wa kuanzia miaka 18 - 20. Usajili umekua mbovu hapo Simba, tunafanya mambo kwa sifa nasasa sifa zinatutokea puani. Vijana wa Mtibwa wanaojitoa kwasababu ya kutaka kufanikiwa kimpira wanatushikisha adabu.
 
hayo mambo ya kufanya usajili kwa sifa ni kosa la nani? na je anayetoa pesa kuwalipa hao wachezaji wasio na faida ni nani? Mo ana haki ya kuumizwa na matokeo ya simba kwa sababu anagharamia kila kitu
 
Japo siyo shabiki wa Simba ila MO kawadharau sana ndugu zangu,huyu Muhindi amekazia maneno ya Rage......Binafsi sijapenda hilo jambo na hawa jamaa wanapenda kupigiwa magoti sana.

Japo kwenye social media wengi mashabiki wamechukizwa sana na huu Ulipumba wa MO namwisho hauko mbali
 
hayo mambo ya kufanya usajili kwa sifa ni kosa la nani? na je anayetoa pesa kuwalipa hao wachezaji wasio na faida ni nani? Mo ana haki ya kuumizwa na matokeo ya simba kwa sababu anagharamia kila kitu
yeye ndo mwenyekiti wa bodi, unafikiri ni kosa la nani?
 
Pumba hizi !
 
Hivi Simba watakuja kupata akili lini eti mtu mmoja ameenda kumpigia magoti mhindi! Naye kwa dharau kasema ngoja nirudi siku nyingine nitafanya hivi ili watu wazima na akili zai wanipigie magoti SHAME
 
Ugomvi wa Dewji na Kigwangala, simkubali Kigwanomics kwakua hajui kujenga hoja lakini hapa nachagua lesser evil, Hamisi umeongea ukweli na imeonekana wazi kuwa Dewji sio mtu.
 
Niko pembeni nikichungulia mtifuano huu..
 
mzee mafanikio ya mpira ni pesa wewe usifikili watu wananunua wachezaji kwa ghalama kubwa ili iwe sifa mishahara mikubwa ile kazi no one sweat for honour mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…