Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

Mpumbavu kweli wewe. Nakuita mpumbavu kwasababu umemuita Mo kuwa Tapeli.

Kiufupi ni kwamba huna akili au unazo chache sana kwahiyo siwezi kukukosoa kwa lolote hapa! Kiufupi jua tu kwamba wewe ni mpumbavu, mjinga, na huna akili!
Punguza hasira Dada jenga hoja wapumbavu tuko wengi ila wewe unaweza kujiambukiza kutokana na hasira.
 
Leo ndio tutajua kama kweli timu fulani ina mashabiki mbumbumbu.

Mbumbumbu wao hawajibu hoja kwa hoja bali hoja kwa matusi.
Umeona ee maroporopo yamezoea kusemewa , marana njoo huku .
 
Ndo mnavyojidanganya ? Atajenga uwanja wa pesa zinazotokana na Simba. Hujiulizi mpaka leo hajaanza kujenga kwa nini?
Eti uwanja haujaanza kujengwa...unaota mkuu??nenda bunju ukajionee hutaamini utakachokiona...kwa taarifa tu bunju kunogilee green lishaanza kupendezesha pitch....hata kama anajenga kwa pesa zinazotokana na simba...waliokuwepo miaka yote hiyo mbona walishindwa???kama unafikiri ni rahisi nyinyi yanga mmeshindwa nini kujenga kwa pesa zinazotokana na tanga...si ni rahisi tu jengeni sasa.

Faida nyingine usiyoijua ya moo kuwepo simba ni kwamba wachezaji wetu hawashindii matikiti kama wale wachezaji wa kwasukwasu wala kugomea mazoezi kwa kushindwa kulipwa malimbikizo ya mshahara
 
tuliambiwa mwezi wa tano nyasi zitakua tayari na hostel na vyumba vya mikutano vitaanza kujengwa, nini kinaendelea bunju?
Unataka kujua kinachoendelea bunju...nenda ukajionee

Nyie ndo wale wapiga kelele ambao mlikuwa mnaitumia simba kama chanzo chenu cha mapato cha kuendeshea maisha ya familia zenu...sasa mirija yote ya ulaji imekatwa mnalialia.

Kiufupi tu mkuu fanya kazi,kama unadhani utaendelea kuilea familia yako kupitia simba sahau kabisa
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.

hhehehehehehehehehehehheheheheheh hahahahahahahahaha tutahoji uraia wako au tutaleta defender na kuita vyombo vya habari tehtehtehtehteht
 
Okwi alikuwepo wakati tunafungwa zile 5 5 hivyo hiyo si excuse kabisa , katika wa soka unatazama bajeti yako na umri wa mchezaji mwenyewe atakusaidia kweli au atakuja kuwa tiamaji tiamaji maana yule nae umri si haba.
Yaani ukiwa na umri wa miaka 29 ulipwe milion 80 ila ukiwa na umri wa 32 unataka ulipwe mil 115 inakuja vipi hiyo?

Tuwe honest tu timu bado ni nzuri
wawa, kagere, nyoni wana umri gani hivi unafahamu wale mapacha wa misri kinachoangaliwa ni uwezo mputu wa mazembe bado analipwa pesa ndefu yondani mpaka leo anasajiliwa kwa pesa kubwa Juuko ameachwa kachukuliwa wawa ambaye umri umeenda usitoe hoja kwa kukariri
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Huna hoja dada, unaonekana hata ligi huzijui vizuri,kwaio ligi ya india unaichukulia poa?
 
Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
Huyu Rais unayemsema anatofauti gani na Mwenyekiti, cheo ambacho kilikuwepo awali!? Je huyo Rais akishaajiriwa analipwa na nani!? Chanzo cha hiyo pesa ni nini!? Unafikiri get collection ina mchango kiasi gani katika kuendesha team!?
 
Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
Hoja hupingwa kwa hoja
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Kuandika porojo ka hizi unapata sh ngapi?
 
Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
Hivi wewe unatumia akili au miyemko.
2013 hadi 2016 hivi Simba si mlikua na vijana na ndo mlikua nnawatumia vipi ni mafanikio yapi mliyapata?
 
Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
Afu unaleta mfano wa Madrid ambazo zinatumia pesa nyingi kwa ajili ya usajili, hivi unatumia akili kweli?
 
Kwa miaka yote ambayo simba na yanga imekuwa chini ya wanachama kuna nini kimefanyika?
Kama Mo ni tapeli ni bora Mara 1000 awe tapeli kuliko viongozi waliopita kwakuwa kila kitu kilikuwa hovyo,sasa hivi husikii simba mambo ya mishahara, posho n.k ila nenda yanga (inayoongozwa na wanachama) uone hali ilivyo,nimemuona Dante anafuga mbwa ili auze kwasababu kadai mil 45 zake had Leo kimya,
Hakuna mafanikio yoyote yaliyopatikana kipindi cha uongozi anaouzungumzia mleta mada,bora huyu afadhali uwanja wa bunju sasa hivi unaweza hata kufanyia mazoezi kwasababu pitch tayari
Kama Mo akula pesa za simba achane ale lakini tunaona anafanya vitu kidogo sio nyie wapiga dili mliokuwa mnakula hela tuu lakini hakuna kitu,kakata mirija yote ya kupiga pesa ndio maan mnamchukia
Pumbavu kabisa wewe kilomoni jr
 
wawa, kagere, nyoni wana umri gani hivi unafahamu wale mapacha wa misri kinachoangaliwa ni uwezo mputu wa mazembe bado analipwa pesa ndefu yondani mpaka leo anasajiliwa kwa pesa kubwa Juuko ameachwa kachukuliwa wawa ambaye umri umeenda usitoe hoja kwa kukariri
Kwa hivyo kama hao uliowataja walikubali kulipwa kawaida ulitaka Okwi ang'ang'aniwe kwa lipi wakati alitaka dau kubwa?

Mbona Ronaldo aliondoka Real Madrid kisa alitaka mshahara mkubwa ambao Real waliona hawana uwezo wa kumlipa huo kwa umri wake?

Hata Lionel Messi hawezi zidishiwa pesa anayopewa sasa maana kiwango kinapungua hakiongezeki kwa hivyo Simba walikuwa sahihi.Simba imecheza mechi 8 hadi sasa haijapoteza mchezo wowote ule then watu mnakuja kulia ohh Okwi mara Kotei mara Juuko for what? Timu iko vizuri acha ipambane msikariri wachezaji , mafanikio hayategemei uwepo wa hao tuliowazoea kama tunadhani hivyo mbona hujajiuliza TRESOR MPUTU alipoondoka Mazembe kwenda Petro Atletico mbona hakuizuia Mazembe ya akina Sammatta kuchukua Klabu Bingwa Africa?

Timu iko poa tu sana , kutolewa klabu bingwa isikutoe kwenye fikra pevu , mbona Barcelona wakiwa na MSN walichukua UEFA mara moja ndani ya miaka minne hushangai?
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".

Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina Hans Pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.

Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wote wa Tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekuwa sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.

Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.

Tena bora Serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.

Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke US 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.

Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.

Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.

Simba haijawahi kuwa mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.

Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
pole sana kama umeyajua leo haya.
 
Kwa hivyo kama hao uliowataja walikubali kulipwa kawaida ulitaka Okwi ang'ang'aniwe kwa lipi wakati alitaka dau kubwa?

Mbona Ronaldo aliondoka Real Madrid kisa alitaka mshahara mkubwa ambao Real waliona hawana uwezo wa kumlipa huo kwa umri wake?

Hata Lionel Messi hawezi zidishiwa pesa anayopewa sasa maana kiwango kinapungua hakiongezeki kwa hivyo Simba walikuwa sahihi.Simba imecheza mechi 8 hadi sasa haijapoteza mchezo wowote ule then watu mnakuja kulia ohh Okwi mara Kotei mara Juuko for what? Timu iko vizuri acha ipambane msikariri wachezaji , mafanikio hayategemei uwepo wa hao tuliowazoea kama tunadhani hivyo mbona hujajiuliza TRESOR MPUTU alipoondoka Mazembe kwenda Petro Atletico mbona hakuizuia Mazembe ya akina Sammatta kuchukua Klabu Bingwa Africa?

Timu iko poa tu sana , kutolewa klabu bingwa isikutoe kwenye fikra pevu , mbona Barcelona wakiwa na MSN walichukua UEFA mara moja ndani ya miaka minne hushangai?
Okwi kaondoka wakati ana uwezo mkubwa tuliona mpira alioonyesha kwenye michuano ya Afrika mnasema anadai pesa kubwa hivi unajua hasara wanayopata Simba kwa kutolewa mapema timu zinawekeza ili zicheze michuano mikubwa zipate pesa ndio maana walisema bure ni gharama
 
Una rekodi yoyote ambayo iliwabeba Simba huko kwenye hayo mashindano kisa Okwi?

Hatukatai kuwa ni mchezaji mzuri ila timu nayo lazima itazame kesho yake , msijaribu kusingizia ati Okwi angekuwepo tungevuka raundi hiyo , hivi miaka mingapi Okwi amekuwepo na hatukufika hata makundi?
 
Back
Top Bottom