Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

Leo ndio tutajua kama kweli timu fulani ina mashabiki mbumbumbu.

Mbumbumbu wao hawajibu hoja kwa hoja bali hoja kwa matusi.
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Umejitahidi kuandika ila imeshindwa kujenga hoja na kutetea hoja, kimsingi hujaonesha evidence zilizo dhahiri juu ya tuhuma zako
 
Mkuu kwa hiyo timu ikiwa na rais na huo mfumo unaotaka ndio hatutofungwa walakutolewa mapema
mafanikio hayanunuliwi, mafanikio yana msingi, mwekezaji akiwa na nguvu kuliko bodi ya timu, timu inakosa msingi imara. Has muwekezaji mwenyewe akiwa yupo kwa ajili ya sifa binafsi na hajali msingi wa timu. Wote tunajua kwamba msimu huu tulitaka kununua mafanikio ligi ya mabingwa na historia ikatusulubu. Unapojenga timu ili ije ifanikiwe haununui wachezaji wakubwa kutoka India, Mazembe walimchukua Mbwana wakati bado mdogo na ile ndomaana ya kujenga timu.
Ila kikubwa zaidi ni kwamba Mo Dewji haipendi Simba kama ambavyo mimi nawewe tunaipenda, Wewe ungekua na $mil 10 tukakwambia wekeza $mil 2 simba wala usingefikiria mara kumi kumi, lakini yeye aliambiwa awekeze $mil 1 tu mpaka leo anataka wazee wale wamlambe matako.
 
Mo kuwekeza Simba wewe unaumiaje?.. Hao madrid hawafungwi?
Simba hakuna vijana?
Madrid hakuna wazee?
Huna hoja na kadi yako ya klinic hiyo ambayo hulipii ada.
 
Kweli baadhi ya mashabiki ni malofa sana! Sasa huo usajili mbaya mnaousemea kwani timu imefungwa mechi ngapi? Na nani kakwambia timu ikiwa nzuri ni lazima ishinde kila mechi? Unasisitiza uwekezaji wa soka la vijana! Kati ya mwaka 2012-2016 simba iliwekeza kwa aina gani ya wachezaji kama sio vijana? Je, walichukua mataji mangapi? Walifika wapi?
Na unapomshambulia mtu kwa sababu ni tapeli, wewe unayefanya kazi halali umeisaidia nini timu yako?
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Unaweza kukuta mleta hoja hata nyumba hana lakini anabariki tu umaskini kwa sababu za kilofa
 
MO toka alivyoitelekeza singida united na african lyon nikajiridhisha ni tapeli
 
mbumbumbu mmeanza kutafutana.

jana alikuwa tajiri yenu leo kawa tapeli.

mpeni team manara basi.
 
Simba ni timu ya wanasimba, mimi binafsi nimeanza kuhisi Simba ni ya mtu tayari.
 
Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.

NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Mo ni Janjajanja tu kama kina Patrick Ngowi.
 
Back
Top Bottom