Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Tutampa mzee akilimali yule anayewavuruga kwasukwasumbumbumbu mmeanza kutafutana.
jana alikuwa tajiri yenu leo kawa tapeli.
mpeni team manara basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutampa mzee akilimali yule anayewavuruga kwasukwasumbumbumbu mmeanza kutafutana.
jana alikuwa tajiri yenu leo kawa tapeli.
mpeni team manara basi.
Barcelona ilipomsajili Arturo vidal alikuwa na umri gani? Na Je, uliwaelewa Barca katika hilo?Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
Okwi alikuwepo wakati tunafungwa zile 5 5 hivyo hiyo si excuse kabisa , katika ulimwengu wa soka unatazama bajeti yako na umri wa mchezaji mwenyewe atakusaidia kweli au atakuja kuwa tiamaji tiamaji maana yule nae umri si haba.mi nilishangaa kwenye mechi na Ud songo anatangaza pikipiki za boxer wakati mkataba wake na simba ni mo xtra ila kati ya vitu alivyoniuzi ni kuacha mchezaji mzuri kama Okwi kwa sababu anataka pesa nyingi wakati ametuaminisha anataka kushindana na Mazembe kiukweli kama mwekezaji inabidi awe na malengo ya muda mrefu na mfupi malengo ya muda mfupi ni kusajili wachezaji bora wakati malengo ya muda mrefu ni kuandaa vijana, kuwa na uwanja pamoja na viwanja vya mazoezi tumpe muda labda atajirekebisha
acha blaablaa weka na weww mzigo mezan tukupe.timu...Nataman nikutukane sema tu naogopa bannTokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Haya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
[/QUwe fala hivi mo akisema kwa mfano ndo ameachia timu saiv mshahar utalipa ww?
Mbna inajulikana wazi Mo dewji ni msanii tu pale Simba...Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina hans pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wotewa tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekua sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke us 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kua mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Umeanza lini kuishabikia Simba maana kama hujui kuwa Simba kuna kipindi cha misimu mitatu mfululizo ilitumia wachezaji vijana wakititokea Simba B kina Mkude, Ajib, Singano,Mwanyika, Ndemla,Lucian,Isihaka Hassan, Miraji Athuman na kwa kipindi chote Simba ilikuwa inafukuza kivuli cha kupata ubingwa na hatimaye ilibidi hakuna namna zaidi ya kuingia sokoni kutafuta wachezaji waliokomaa na wazoefu na matunda yalionekana labda wewe bado umelazwa Milembe hospitaliHaya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
Huyo jamaa ni ZIRO kabisa hana hoja ni mtuupu kabisa hivi FACTS zipi hasa unazoejea kwa MO?Unaonekana una chuki binafsi ndugu, afu utakuwa ndio umeanza ushabiki, afu unaonekana sio shabiki wa simba!! Rudi nyumbani afu ujipange namna ya kutengeneza hoja bila kujulikana identity yako
Ndo mnavyojidanganya ? Atajenga uwanja wa pesa zinazotokana na Simba. Hujiulizi mpaka leo hajaanza kujenga kwa nini?Anatujengea uwanja wa bunju kwa pesa yake mwenyewe...una swali jingine???
tuliambiwa mwezi wa tano nyasi zitakua tayari na hostel na vyumba vya mikutano vitaanza kujengwa, nini kinaendelea bunju?Anatujengea uwanja wa bunju kwa pesa yake mwenyewe...una swali jingine???
Ngoja tuone mkia gani una nguvu !!!Mikia imeanza tena kuraruana yenyewe.
Hahaha...!
Mikia ni mikia tu.