Mo Dewji nilikwambia unipe GENTAMYCINE wa JamiiForums nikusajilie Wachezaji wa Ubingwa hujanipa, sasa Utasajiliwa Migalasa tupu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu hujafanya hivyo.

Sasa nakuambia Tajiri Wewe Mo Dewji tegemea Kusajiliwa Michezaji Migalasa tupu na utakuja Kunikumbuka na kujuta kwanini hukunitafuta hapa JamiiForums.

Mimi ungenipa tu hata Bilioni 1 na Nusu au Bilioni 2 kabisa ningeomba unipe Wiki zangu Tatu ( 3 ) tu ningekuletea si Wachezaji bali Wachezaji wa Vikombe na Simba SC yetu ingesomba Vikombe vyote kwakuwa nawajua Mafundi wako wapi

Mo Dewji hushauriki na unawaamini mno Maadui Wakuu wa Simba SC hasa Mkurugenzi wa Bodi Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mjumbe Mulamu Ng'ambi hivyo tegemea tena Maumivu kupitia hawa Watajwa Watatu.

Nitachagua tu kukaa mbali na SSC.

Pia soma: Mo Dewji Nitengee Tsh Bilioni 4 tu nizunguke duniani nikuletee Majembe ya Simba SC Kuzoa Vikombe vyote Africa
 
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu hujafanya hivyo.

Sasa nakuambia Tajiri Wewe Mo Dewji tegemea Kusajiliwa Michezaji Migalasa tupu na utakuja Kunikumbuka na kujuta kwanini hukunitafuta hapa JamiiForums.

Mimi ungenipa tu hata Bilioni 1 na Nusu au Bilioni 2 kabisa ningeomba unipe Wiki zangu Tatu ( 3 ) tu ningekuletea si Wachezaji bali Wachezaji wa Vikombe na Simba SC yetu ingesomba Vikombe vyote kwakuwa nawajua Mafundi wako wapi

Mo Dewji hushauriki na unawaamini mno Maadui Wakuu wa Simba SC hasa Mkurugenzi wa Bodi Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mjumbe Mulamu Ng'ambi hivyo tegemea tena Maumivu kupitia hawa Watajwa Watatu.

Nitachagua tu kukaa mbali na SSC.
Mo Dewji hawezi kusoma platform kama hizi JF, labda huwajui wahindi.

Wenzako saa hizi wanasoma financial market na stock exchange ndio platform zao.
 
Kuna hizi tetesi zinasmbaa kwa kasi sana kuwa Miquisone anaelekea Azam. Je zina ukweili wowote?
 
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu hujafanya hivyo.

Sasa nakuambia Tajiri Wewe Mo Dewji tegemea Kusajiliwa Michezaji Migalasa tupu na utakuja Kunikumbuka na kujuta kwanini hukunitafuta hapa JamiiForums.

Mimi ungenipa tu hata Bilioni 1 na Nusu au Bilioni 2 kabisa ningeomba unipe Wiki zangu Tatu ( 3 ) tu ningekuletea si Wachezaji bali Wachezaji wa Vikombe na Simba SC yetu ingesomba Vikombe vyote kwakuwa nawajua Mafundi wako wapi

Mo Dewji hushauriki na unawaamini mno Maadui Wakuu wa Simba SC hasa Mkurugenzi wa Bodi Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mjumbe Mulamu Ng'ambi hivyo tegemea tena Maumivu kupitia hawa Watajwa Watatu.

Nitachagua tu kukaa mbali na SSC.
Yaan MO ajute kisa wewe kutokufuata ushauri wa wewe Mbuzi , tena usikute hata kadi ya uwanachama wa simba hauna
 
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu hujafanya hivyo.

Sasa nakuambia Tajiri Wewe Mo Dewji tegemea Kusajiliwa Michezaji Migalasa tupu na utakuja Kunikumbuka na kujuta kwanini hukunitafuta hapa JamiiForums.

Mimi ungenipa tu hata Bilioni 1 na Nusu au Bilioni 2 kabisa ningeomba unipe Wiki zangu Tatu ( 3 ) tu ningekuletea si Wachezaji bali Wachezaji wa Vikombe na Simba SC yetu ingesomba Vikombe vyote kwakuwa nawajua Mafundi wako wapi

Mo Dewji hushauriki na unawaamini mno Maadui Wakuu wa Simba SC hasa Mkurugenzi wa Bodi Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mjumbe Mulamu Ng'ambi hivyo tegemea tena Maumivu kupitia hawa Watajwa Watatu.

Nitachagua tu kukaa mbali na SSC.
Kati ya viongozi watatu uliowatuhumu, nakupa Taarifa rasmi na hii ifanyie analysis utakuja kuniambia. Tatizo siyo wote watatu kwenye usajili, hapo mwenye shida ni Mzee wa 10% - JARIBU TENA. Saidoo anajua vizuri hii Hali.
 
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane ili nikusaidie Usipigwe Hela na Wajanja na Matapeli waliokuzunguka na niisaidie Simba SC yangu hujafanya hivyo.

Sasa nakuambia Tajiri Wewe Mo Dewji tegemea Kusajiliwa Michezaji Migalasa tupu na utakuja Kunikumbuka na kujuta kwanini hukunitafuta hapa JamiiForums.

Mimi ungenipa tu hata Bilioni 1 na Nusu au Bilioni 2 kabisa ningeomba unipe Wiki zangu Tatu ( 3 ) tu ningekuletea si Wachezaji bali Wachezaji wa Vikombe na Simba SC yetu ingesomba Vikombe vyote kwakuwa nawajua Mafundi wako wapi

Mo Dewji hushauriki na unawaamini mno Maadui Wakuu wa Simba SC hasa Mkurugenzi wa Bodi Salim Abdallah Try Again, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu na Mjumbe Mulamu Ng'ambi hivyo tegemea tena Maumivu kupitia hawa Watajwa Watatu.

Nitachagua tu kukaa mbali na SSC.
Acha kuzionea huruma hela za mwanaume mwenzako wewe! Kama vipi na wewe pambana ili uwe tajiri kama yeye, halafu uinunue hiyo timu! Baada ya hapo usajili mwenyewe hao wachezaji kwa fedha zako.
 
Back
Top Bottom