Jamachk
Member
- Apr 20, 2023
- 6
- 10
Muda si mrefu na wewe huko jangwani utaandikiwa THANK YOU๐๐๐๐๐๐๐Acha kuzionea huruma hela za mwanaume mwenzako wewe! Kama vipi na wewe pambana ili uwe tajiri kama yeye, halafu uinunue hiyo timu! Baada ya hapo usajili mwenyewe hao wachezaji kwa fedha zako.