Jamachk Member Joined Apr 20, 2023 Posts 6 Reaction score 10 Jun 23, 2023 #21 Tate Mkuu said: Acha kuzionea huruma hela za mwanaume mwenzako wewe! Kama vipi na wewe pambana ili uwe tajiri kama yeye, halafu uinunue hiyo timu! Baada ya hapo usajili mwenyewe hao wachezaji kwa fedha zako. Click to expand... Muda si mrefu na wewe huko jangwani utaandikiwa THANK YOUπππππππ
Tate Mkuu said: Acha kuzionea huruma hela za mwanaume mwenzako wewe! Kama vipi na wewe pambana ili uwe tajiri kama yeye, halafu uinunue hiyo timu! Baada ya hapo usajili mwenyewe hao wachezaji kwa fedha zako. Click to expand... Muda si mrefu na wewe huko jangwani utaandikiwa THANK YOUπππππππ
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 23, 2023 #22 Jamachk said: Muda si mrefu na wewe huko jangwani utaandikiwa THANK YOUπππππππ Click to expand... Mimi nadhani bado nipo nipo sana. Maana sina impact ya moja kwa moja kwenye timu.
Jamachk said: Muda si mrefu na wewe huko jangwani utaandikiwa THANK YOUπππππππ Click to expand... Mimi nadhani bado nipo nipo sana. Maana sina impact ya moja kwa moja kwenye timu.
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jun 23, 2023 #23 Wewe mwenyewe ni galasa tosha,
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jun 23, 2023 #24 Mawawa said: Maisha bora tu kwa ajili ya wanao umeshindwa kuwatengenezea, ndio uje utafute wachezaji bora? Click to expand... Aahaahaaa
Mawawa said: Maisha bora tu kwa ajili ya wanao umeshindwa kuwatengenezea, ndio uje utafute wachezaji bora? Click to expand... Aahaahaaa
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Jun 23, 2023 #25 Mkalapa said: Maisha yako magumu halafu upewe hizo B si utakikimbilia visiwa vya Ukerewe huko kwanza atakuamini nani maana hata familia huna kula Kwa mama ntilie Click to expand... Kumbe Hana familia
Mkalapa said: Maisha yako magumu halafu upewe hizo B si utakikimbilia visiwa vya Ukerewe huko kwanza atakuamini nani maana hata familia huna kula Kwa mama ntilie Click to expand... Kumbe Hana familia