Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Mhindi apoteze fedha nyingi hivyo na bado arudi? Hii ni watu wajinga kabisa ndiyo watakubali.
 
GSM, huyu wote ni wale wale. Ni mafala tu ndiyo watakadhani GSM na Mo wana mapenzi na hizo timu au mpira. Wako huko kwa ajili ya maslahi yao.
 
Aende wapi wakati ni mali yake, au unamaanisha kama anapata hasara aiuze?
 
Aende wapi wakati ni mali yake, au unamaanisha kama anapata hasara aiuze?
Kwani wewe ukiwa na mali inayokupa hasara utakosa cha kufanya kisa ni mali yako? Kabisa utakosa namna ya kuepuka hasara kubwa namna hiyo kwa miaka 5 just because ni mali yako, kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…