Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
""Inachanganya hii, kitu ukishakinunua si ni chako, sasa utakiachiaje bure bure, aidha aseme amemuuzia nani sasa maana ni mali yake hii simba ""BILIONEA Mohamed Dewji Mo amethibitisha rasmi kuwa Klabu ya Simba aliinunua miaka 5 iliyopita na ndio kitu cha gharama kwake kukinunua[emoji3578]
#KitengeSports
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app