Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Wewe Labani og hyo video iko.wapi aliposema amepoteza?. Video umesikiliza mwenyewe umekuja na tafsiri zako..kweli hamna akili nyie..
 
Huyu mhindi anatuchukuliaje?
Simba imesharudi kwao. Ilianzishwa na Wahindi, imerudi kwa Mhindi. Wanachama na mashabiki kwa kuwa hamna pa kwenda imebidi muwekewe Mwenyekiti wenu, halafu kuna Mwenyekiti wa Simba.
 
Sheria zinasemaje kwani?.
Ana asilimia ngapi SSC
Anazo 100 zote au?
Hii timu aliikuta na akawekeza asilimia zake na akaona inampa faida kwahyo tutaenda nae sambamba kama haimpi faida mbona haiachi?.
Ndo hivyo mkuu ..kashauziwa mazima
Screenshot_20240229-151050.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Kalpana ni kolo kindaki ndaki

Kwani hukusikia kuwa kile kichapo Cha 5...... kalpana alikuwa kibanda umiza .....Kwa hasira [emoji3063][emoji3063] akang'oa na tv ya watu[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wee mi nilikua ndani kwangu bana..sema hatukula usiku siku hyo..walikula wtt tuu...
Ila kesho yake nikakumbuka 6 kwa sufuri tuliyowalamba na ile 5 kwa 0 basi nikasema hivi naumia nini? Kutesa kwa zamu
 
Back
Top Bottom