Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
- Thread starter
-
- #21
[emoji382][emoji382][emoji382].........Shida unasikiza kwa mihemko bila ku-analyze kinachosemwa.
Wenye akili ni2 tu [emoji196][emoji196][emoji196]
Shida yako akili ndogo unachagua cha kuelewaπ€£π€£π€£π€£ amekuambia hapati faida.Simba ANAFANYA KWA.MAPENZI YAKE, KWA JINSI.ANAVYOIPENDA SIMBAhayupo Simba kuoata faidaπ₯°[emoji382][emoji382][emoji382].........
Tajili mwenye timu yake kashasema, we shabiki mwenzangu kaa kwa kutulia usikilizie maumivu
Sasa unanipangia cha kuandika mkuu? Mimi nimechagua kupost hicho miongoni mwa vingi alivyoongeza. Wewe unaweza pia kuchagua nini ameongea ukaja na Uzi humu.Shida yako akili ndogo unachagua cha kuelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amekuambia hapati faida.Simba ANAFANYA KWA.MAPENZI YAKE, KWA JINSI.ANAVYOIPENDA SIMBAhayupo Simba kuoata faida[emoji3059]
Manara na JK tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
7+6 vipigo huku πΈ huku Horoya fan lazima ufurahie umbeaSasa unanipangia cha kuandika mkuu? Mimi nimechagua kupost hicho miongoni mwa vingi alivyoongeza. Wewe unaweza pia kuchagua nini ameongea ukaja na Uzi humu.
Mwenyekiti wetu ndugu Adeni Rage tena akiwa kwenye mkutano mkuu wa klabu alikuwa sahihi pale aliposema wanasimba wote ni mbumbumbu[emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini ni adui wa ukweli.Huyu nae mbona masimango sana kama alilazimishwa kuwekeza Simba vile
Stik kwenye uzi7+6 vipigo huku [emoji196] huku Horoya fan lazima ufurahie umbea
Maadamu haiachi timu kama Yule jamaa yenu wa Ngada Manji Sisi wala hatuna papara. We jifurahishe tuStik kwenye uziView attachment 2562975
[emoji382][emoji382][emoji850][emoji850]Maadamu haiachi timu kama Yule jamaa yenu wa Ngada Manji Sisi wala hatuna papara. We jifurahishe tu
Tumewaburuza horoya wako7.0π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»[emoji382][emoji382][emoji850][emoji850]
Wewe si shabiki wa simbaMimi ni Shabiki wa Simba lakini tuna mengi sana ya kujifunza kwa Yanga
Atalala kwako?atakula kwako?Kama katoa 1.5b Kwa ajili ya usajili, ilikuwaje tulishindwa kumsajili manzoki Kwa 300mil? Yaani hapo kwenye 1.5b ukitoa iyo 300m si bado unabakiza 1.2b?
Hakuna Simba kichaa kama wewe, yanga ambayo hata uwanja wa mazoezi hawana Simba ndio ikajifunze?Mimi ni Shabiki wa Simba lakini tuna mengi sana ya kujifunza kwa Yanga
Mkuu mbona unajaza server za jf bila sababu za msingi? Stik kwenye uzi tafadhali au unaitaji ban ya lazima?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
Acha kumpangia timu wewe, huyo ni Simba damu anajulikana na woteHakuna Simba kichaa kama wewe, yanga ambayo hata uwanja wa mazoezi hawana Simba ndio ikajifunze?
Mkuu ze-dudu huyo ni [emoji881]Wewe si shabiki wa simba