Mo Dewji: Nimetoa 1.5b za usajili lakini haziendani na wachezaji waliosajiliwa

Mo Dewji: Nimetoa 1.5b za usajili lakini haziendani na wachezaji waliosajiliwa

Shida unasikiza kwa mihemko bila ku-analyze kinachosemwa.
Wenye akili ni2 tu [emoji196][emoji196][emoji196]
[emoji382][emoji382][emoji382].........
Tajili mwenye timu yake kashasema, we shabiki mwenzangu kaa kwa kutulia usikilizie maumivu
 
[emoji382][emoji382][emoji382].........
Tajili mwenye timu yake kashasema, we shabiki mwenzangu kaa kwa kutulia usikilizie maumivu
Shida yako akili ndogo unachagua cha kuelewa🤣🤣🤣🤣 amekuambia hapati faida.Simba ANAFANYA KWA.MAPENZI YAKE, KWA JINSI.ANAVYOIPENDA SIMBAhayupo Simba kuoata faida🥰

Manara na JK tu. 🤣🤣🤣
 
Aonyeshe risiti aliyodeposit hiyo 1.5B ya usajili aache maneno mengi.

Halafu huyu tajiri uchwara inakuaje simba ikifanya vizuri ndio anajipeleka kwenye media ila wakifanya vibaya anakaa kimya?
 
Shida yako akili ndogo unachagua cha kuelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amekuambia hapati faida.Simba ANAFANYA KWA.MAPENZI YAKE, KWA JINSI.ANAVYOIPENDA SIMBAhayupo Simba kuoata faida[emoji3059]

Manara na JK tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa unanipangia cha kuandika mkuu? Mimi nimechagua kupost hicho miongoni mwa vingi alivyoongeza. Wewe unaweza pia kuchagua nini ameongea ukaja na Uzi humu.
Mwenyekiti wetu ndugu Adeni Rage tena akiwa kwenye mkutano mkuu wa klabu alikuwa sahihi pale aliposema wanasimba wote ni mbumbumbu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
7+6 vipigo huku 🐸 huku Horoya fan lazima ufurahie umbea
 
Attachments

  • FB_IMG_1679588285831.jpg
    FB_IMG_1679588285831.jpg
    46.4 KB · Views: 3
1.5bilion unapata wachezaji wawili wa maana ila kama unataka wachezaji wamafungu ndo utafanya walichokifanya simba kwenye usajili.
 
😆😆😆😆😅😅😅
 
Attachments

  • Screenshot_20230323-194616_Facebook.jpg
    Screenshot_20230323-194616_Facebook.jpg
    171.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom