Mo Dewji Nitengee Tsh Bilioni 4 tu nizunguke duniani nikuletee Majembe ya Simba SC Kuzoa Vikombe vyote Africa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.

Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna Chuma nimekiona, nitaenda South Africa kuna Vyuma Viwili nimeviona, nitaenda Chile kuna Chuma kimoja nimekiona na nitamalizia Argentina na Brazil kuna Vyuma Viwili vya maana nimeviona.

Ukishaandaa hiyo Hela Tsh Bilioni 4 ya Kazi hiyo niwekee yangu Pembeni kama Milioni 250 ambapo hiyo Tsh Milioni 50 nitampa Mtani wangu Maxence Melo kwa Uaminifu wake Kwangu na hiyo Tsh Milioni 200 ndiyo itakuwa ya Kazi.

Mo Dewji nikiifanya hii Kazi na kama Simba SC isipotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, ASFC na haijafika Fainali ya CAFCL nitafute unifanye Bucha ili Hasira zako zipungue.

Nitaute haraka nikufanyie Kazi hii na bahati nzuri GENTAMYCINE nimecheza Mpira na naujua Mpira hivyo nikikuchagulia Vyuma basi jua Fundi na Mtaalam Mimi wa Kutukuka nimeshajiridhisha nao
 
Mie usinisahau japo bia 4 ukipata hizo fedha
 
Dhambi yenu ya wivu na kumdanganya Feitoto aivuruge Yanga haitowaacha salama mpaka mnyoke kama rula pili huyo janja janja unayemwomba aweke 4bl ni nani wakati alisema amewekwa 20bl simba na hapati faida wakati dhamani ya simba nzima 3.8bl huoni huyo ni tapeli kama matapeli wengine. [emoji848] [emoji848]
 
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.

Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna Chuma nimekiona, nitaenda South Africa kuna Vyuma Viwili nimeviona, nitaenda Chile kuna Chuma kimoja nimekiona na nitamalizia Argentina na Brazil kuna Vyuma Viwili vya maana nimeviona.

Ukishaandaa hiyo Hela Tsh Bilioni 4 ya Kazi hiyo niwekee yangu Pembeni kama Milioni 250 ambapo hiyo Tsh Milioni 50 nitampa Mtani wangu Maxence Melo kwa Uaminifu wake Kwangu na hiyo Tsh Milioni 200 ndiyo itakuwa ya Kazi.

Mo Dewji nikiifanya hii Kazi na kama Simba SC isipotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, ASFC na haijafika Fainali ya CAFCL nitafute unifanye Bucha ili Hasira zako zipungue.

Nitaute haraka nikufanyie Kazi hii na bahati nzuri GENTAMYCINE nimecheza Mpira na naujua Mpira hivyo nikikuchagulia Vyuma basi jua Fundi na Mtaalam Mimi wa Kutukuka nimeshajiridhisha nao
4 bilioni cash itabidi akuongezee hata milioni kumi za kukodi fuso la kuzibeba na kukodi chumba cha kuzihifadhi na za kuwalipa makuli na walinzi.
 
Back
Top Bottom