Mo Dewji Nitengee Tsh Bilioni 4 tu nizunguke duniani nikuletee Majembe ya Simba SC Kuzoa Vikombe vyote Africa

05AD6AC9-9B0D-44B5-9FA4-BCD58F1AB481.jpeg
 
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.

Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna Chuma nimekiona, nitaenda South Africa kuna Vyuma Viwili nimeviona, nitaenda Chile kuna Chuma kimoja nimekiona na nitamalizia Argentina na Brazil kuna Vyuma Viwili vya maana nimeviona.

Ukishaandaa hiyo Hela Tsh Bilioni 4 ya Kazi hiyo niwekee yangu Pembeni kama Milioni 250 ambapo hiyo Tsh Milioni 50 nitampa Mtani wangu Maxence Melo kwa Uaminifu wake Kwangu na hiyo Tsh Milioni 200 ndiyo itakuwa ya Kazi.

Mo Dewji nikiifanya hii Kazi na kama Simba SC isipotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, ASFC na haijafika Fainali ya CAFCL nitafute unifanye Bucha ili Hasira zako zipungue.

Nitaute haraka nikufanyie Kazi hii na bahati nzuri GENTAMYCINE nimecheza Mpira na naujua Mpira hivyo nikikuchagulia Vyuma basi jua Fundi na Mtaalam Mimi wa Kutukuka nimeshajiridhisha nao
Genta nina wasiwasi... ukipewa hizo bilioni nne si utaenda kuzichakatia papuchi huko brazil na mexico hebu jitathmini kwanza kabla ya kuomba mambo makubwa kama haya.. utakufaaaa 🤣 🤣
 
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.

Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna Chuma nimekiona, nitaenda South Africa kuna Vyuma Viwili nimeviona, nitaenda Chile kuna Chuma kimoja nimekiona na nitamalizia Argentina na Brazil kuna Vyuma Viwili vya maana nimeviona.

Ukishaandaa hiyo Hela Tsh Bilioni 4 ya Kazi hiyo niwekee yangu Pembeni kama Milioni 250 ambapo hiyo Tsh Milioni 50 nitampa Mtani wangu Maxence Melo kwa Uaminifu wake Kwangu na hiyo Tsh Milioni 200 ndiyo itakuwa ya Kazi.

Mo Dewji nikiifanya hii Kazi na kama Simba SC isipotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, ASFC na haijafika Fainali ya CAFCL nitafute unifanye Bucha ili Hasira zako zipungue.

Nitaute haraka nikufanyie Kazi hii na bahati nzuri GENTAMYCINE nimecheza Mpira na naujua Mpira hivyo nikikuchagulia Vyuma basi jua Fundi na Mtaalam Mimi wa Kutukuka nimeshajiridhisha nao
Je? Hizo bilioni4 ulishawahi kuzimiliki au kuziona na macho?pili kama wewe ni mtaalamu hivo fundisha timu ya taifa ili utuaminishe hayo maneno yako. Angalizo hata yesu aliuzwa Kwa vipande vya vedha
 
Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake.

Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna Chuma nimekiona, nitaenda South Africa kuna Vyuma Viwili nimeviona, nitaenda Chile kuna Chuma kimoja nimekiona na nitamalizia Argentina na Brazil kuna Vyuma Viwili vya maana nimeviona.

Ukishaandaa hiyo Hela Tsh Bilioni 4 ya Kazi hiyo niwekee yangu Pembeni kama Milioni 250 ambapo hiyo Tsh Milioni 50 nitampa Mtani wangu Maxence Melo kwa Uaminifu wake Kwangu na hiyo Tsh Milioni 200 ndiyo itakuwa ya Kazi.

Mo Dewji nikiifanya hii Kazi na kama Simba SC isipotwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania, ASFC na haijafika Fainali ya CAFCL nitafute unifanye Bucha ili Hasira zako zipungue.

Nitaute haraka nikufanyie Kazi hii na bahati nzuri GENTAMYCINE nimecheza Mpira na naujua Mpira hivyo nikikuchagulia Vyuma basi jua Fundi na Mtaalam Mimi wa Kutukuka nimeshajiridhisha nao
Madhara ya Overstress.

Mkuu nenda tour kwanza
 
Simba ishapata BILION 4 za MAANDALIZI ya super cup.

Simba imepata almost BILIONI 2 za Robo Fainali.
 
kukufanya bucha itakua sio, bdo tunakuhitaji humu. Me naona kama plan ikifeli akuchakate tu, tutakutunzia siri mkuu.
 
Back
Top Bottom