Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

Mo Dewji ONDOKA SIMBA SC upesi sana Cognizant nimlete Mwekezaji wa maana Simba SC na was kutupa Ubingwa wa Afrika

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Wana Simba SC fanyeni kila muwezalo ili Moja Dewji aachane na Simba SC na haraka sana Cognizant nitawaletea Mwekezaji Mpya na wa maana Klabuni huku upande wa Kusajili Wachezaji mahiri na wa kuipa Simba SC Ubingwa wa kuanzia NBC Premier League, ASFC na wa CAFCL nitasimamia Mwenyewe na mtafurahi na hata kunitafuta hapa JamiiForums ili mnishukuru na mnipe Tuzo ya Heshima au hata Kunijengea Mnara wangu kama Heshima ya Kutukuka na nilichowafanyia.

Fanyeni upesi kwa nililowaomba.
 
Pesa ya mhindi ngumu sana aisee, jamaa anaona akisajili wachezaji wengine wazuri na vijana sijui atapungukiwa nini, kama uwekezaji umemshinda aachane na simba tu kwakweli abaki kama shabiki tu
 
Back
Top Bottom