GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?
Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kinachoendelea kuhusu ManzokiPesa iendane na thamani mzee, kwa kuwa una hela ndio kazi ya ya 2000 ulipishwe laki 3!?
Sasa manzoki mkataba unaisha October wale wajuba wanataka zaidi ya dola laki moja. Usikute simba wameshakubaliana signing fee na mchezaji mwenyewe na anachotaka ni chini ya hiyo transfer fee wanayotaka vipers.
Kolo mmeanza kulamba miguu ya moMo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?
Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
Nakubaliana na wewe katika hili kiuchumi. Kama kweli unaipenda timu yako lazima uone uchungu pale inapotaka kukomolewa. Simba inaweza kumsubiri Manzoki hadi January, lakini inatakiwa kuwa na wazo mbadala kwa hii miezi 5 iliyosalia. Ni nani wa kusimama pale mbele kama mkuki? Au timu inabadili mfumo ikisubiri huduma yake baada ya miezi 5. Je, mfumo mpya kwa wachezaji waliopo wanacope nao? Au waliopo wanaweza kufanya kazi ya Striker bila wasiwasi?Pesa iendane na thamani mzee, kwa kuwa una hela ndio kazi ya ya 2000 ulipishwe laki 3!?
Sasa manzoki mkataba unaisha October wale wajuba wanataka zaidi ya dola laki moja. Usikute simba wameshakubaliana signing fee na mchezaji mwenyewe na anachotaka ni chini ya hiyo transfer fee wanayotaka vipers.
Hapo ni kocha sasa, kama anaweza kuwatumia waliopo au lah.Nakubaliana na wewe katika hili kiuchumi. Kama kweli unaipenda timu yako lazima uone uchungu pale inapotaka kukomolewa. Simba inaweza kumsubiri Manzoki hadi January, lakini inatakiwa kuwa na wazo mbadala kwa hii miezi 5 iliyosalia. Ni nani wa kusimama pale mbele kama mkuki? Au timu inabadili mfumo ikisubiri huduma yake baada ya miezi 5. Je, mfumo mpya kwa wachezaji waliopo wanacope nao? Au waliopo wanaweza kufanya kazi ya Striker bila wasiwasi?
Da Mugalu tenaNi bora tumsubili hadi dirisha dogo sina shaka na huduma za Mugalu na Kiyombo,
WordPesa iendane na thamani mzee, kwa kuwa una hela ndio kazi ya ya 2000 ulipishwe laki 3!?
Sasa manzoki mkataba unaisha October wale wajuba wanataka zaidi ya dola laki moja. Usikute simba wameshakubaliana signing fee na mchezaji mwenyewe na anachotaka ni chini ya hiyo transfer fee wanayotaka vipers.
Mugalu hayupo kikosini na hatutakuwa nae msimu ujao.Ni bora tumsubili hadi dirisha dogo sina shaka na huduma za Mugalu na Kiyombo,
Huu ujinga walikuwa wanaufanya sana Jamaa wa iliyokuwa enzi zile inaitwa "Mbuguni" kwa sasa Mererani.Pesa iendane na thamani mzee, kwa kuwa una hela ndio kazi ya ya 2000 ulipishwe laki 3!?
Sasa manzoki mkataba unaisha October wale wajuba wanataka zaidi ya dola laki moja. Usikute simba wameshakubaliana signing fee na mchezaji mwenyewe na anachotaka ni chini ya hiyo transfer fee wanayotaka vipers.
Inaitwa "MASIKINI AKIPATA" 😂Huu ujinga walikuwa wanaufanya sana Jamaa wa iliyokuwa enzi zile inaitwa "Mbuguni" kwa sasa Mererani.
Wale jamaa walikuwa wakipiga milioni kadhaa basi wakija Arusha mjini hakukaliki, kila wakionacho kitanunuliwa...wewe Muuzaji ni kutaja bei tu unahesabiwa zako...sasa ukijikuta umetaja bei ndogo unaishia kuuma meno.