Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

Nadhani labda mpaka mkataba wake uishe October hukoo
 
Manzoki ndio straiker hatari kuwahi kutokea ligi yetu, atavunja rekodi.
 
Manzoki ndio straiker hatari kuwahi kutokea ligi yetu, atavunja rekodi.
Ligi yenu ipi!? afu atavunja Rekodi..!!? Ipi unazungumzia...

Huku NBC premier Manzoki anausishwa na Timu moja tu...angekuwa hatari hata Azam wangeusishwa nae...

Manzoki ni Bocco aliyechangamka
 
Tayari kabisa hesabu ishafungwa.
Una uhakika Mkuu? Akitangazwa leo au Kesho au Keshokutwa kuwa tayari ni RED ( Ameshasinya ) na Simba SC yetu nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa mno kwani Ceaser Lobi Manzoki ni mzuri kuliko hata Mayele hasa katika Ufungaji halafu ni Mwepesi sana.

Atatusaidia mno Simba SC katika Ushambuliaji na Mashambulizi. Nashindwa kupata Usingizi juu ya Suala lake kwani nahitaji aje Simba SC
 
Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
Brother juzi si mmesaini 26.1 bil za M-Bet kila mwaka mna mgao wa zaidi ya bil 4,sasa mmege kidogo mlipie usajili wa Manzoki.
 
Back
Top Bottom