CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mpira wa Bongo, ukitaka kutoa maoni ya kimpira watu wanaingiza ushabiki.
Ila ukweli mchungu, mashabiki wa Simba ondoeni matarajio makubwa kwenye Timu yenu. Wachezaji wengi mliosajili ni aina ya wachezaji wasaka mafanikio binafsi kuliko teamwork.
Sioni Simba ikipambana Ligi ya Mabingwa msimu huu na hata Ligi kuu jiandaeni Kisaikolojia mapema maana matatizo yenu bado hamjayatatua.
Kwa kuziangalia Azam na Yanga jinsi walivyoenda direct kutatua matatizo yao mfano Azam, Golikipa, Beki wa kati, Viungo nk
Yanga wao wameboresha Winga zote mbili, beki ya Kushoto na kuongeza nguvu eneo la juu na kati kidogo sana.
Simba ana safari ndefu sana msimu huu na hapa lazima mtaona wazi Kikosi kitabadilika mara kwa mara hasa kuanzia Kati hadi mbele. Hali hii itapelekea weak Combination ya timu na kuleta shida kwenye kusaka matokeo.
Naruhusu MATUSI.