Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

Chini ya carpet wanadokeza tayari unyamani kuanzia kesho watamtangaza rasmi.
Asanteni kwa hii Taarifa na huku Kunihakikishia Kwenu na kwa Furaha niliyonayo ngoja tu nitafute 'Mbunye' ya 'Kuitindua' kwa Usiku huu nikisheherekea huko 'Kusinya' kwa 'Profesa' wa Kufunga Magoli Ceaser Lobi Manzoki.
 
Na ulimpigia upatu kweli kweli
 
Kesho anatangzwa..TULIA
I will the happiest Simba SC Fan if they are done with him. He has all what it takes to be dangerous Striker ( Forward ) and hopefully this Season all Simba SC fans are going to gain more Weight and Smiling all the time.
 
Asanteni kwa hii Taarifa na huku Kunihakikishia Kwenu na kwa Furaha niliyonayo ngoja tu nitafute 'Mbunye' ya 'Kuitindua' kwa Usiku huu nikisheherekea huko 'Kusinya' kwa 'Profesa' wa Kufunga Magoli Ceaser Lobi Manzoki.
 
I will the happiest Simba SC Fan if they are done with him. He has all what it takes to be dangerous Striker ( Forward ) and hopefully this Season all Simba SC fans are going to gain more Weight and Smiling all the time.
Labda bocco haja piga vibuyu
 
Sa hapa ndo umeandika nini?
 
Ngoja sasa ni Log Out nikatafute wa Kumkanda 'Kibaiolojia' kwa Usiku huu kwa Furaha Kubwa ya Kumuona 'Poti' wangu na Mafia wa Soka Crescentius Magori ( pichani hapa ) akiwa na Mshambuliaji ninayemhitaji na kumkubali zaidi Ceaser Lobi Manzoki.

Asante mno Mkuu wa Uthibitisho huu.
 
Asanteni kwa hii Taarifa na huku Kunihakikishia Kwenu na kwa Furaha niliyonayo ngoja tu nitafute 'Mbunye' ya 'Kuitindua' kwa Usiku huu nikisheherekea huko 'Kusinya' kwa 'Profesa' wa Kufunga Magoli Ceaser Lobi Manzoki.

Duh we jamaa ko unatafta paka au?????
 
Ni YEYE CESAR LOBI MANZOKI[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]watu wabad nyie..cocastic uko wapi???
Nipo hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahangaika na taarifa za manzoki. Yaan kwa picha zile bora iwe kweli aseeeeh.
 
Hatukutukani ila tunza maneno yako mana ligi bado week moja tu tutakuumbusha
 
Mpira hauko hivo ndugu mdau, ingawa mpira ni biashara lakini hauwezi kutunisha mfuko bila kuangalia matokeo na demands.

Manzoki anamaliza mkataba wake Octoba na yupo tayari kwa hiari yake kujiunga na simba sema Vipers wanafoji na kulaghai kwamba manzoki bado ana mkataba mrefu na timu yake na wanataka kibubu cha takriban Tsh 400 million huko kama ada ya usajili.

Akili kichwani mtu wangu kama umesoma hesabu za kwenda na Moja kichwani utanielewa, Hapo kuna mawili, Simba wanaweza kumsubiri amalize mkataba wake wamsajili free kitu ambacho ni hasara kwa hao Vipers kushindwa kujiongeza kati ya kupata kidogo na kukosa kabisa kipi bora..

Au kulipa hiyo M 400 wamsajili mchezaji aliyebakisha mwezi mmoja ambaye kwa hiyo hela unaweza kupata wachezaji hata wawili wazuri pengine hata kuliko huyo Manzoki. Simba ina viongozi wenye uzoefu kufanya biashara hawawezi kuingia kwenye mitego ya kijanja janja kama hiyo.

Binafsi mimi naungana na Simba wasitoe hiyo Hela kwa mchezaji ambaye anaweza kuja bure na basi wakitaka kutoa hiyo pesa basi watafute mchezaji mwingine ila sio manzoki mana manzoki ni wetu atatufata tu baada ya mkataba wake kuisha. Ova
 
sasa utopolo na nyie mnaiwaza Club bingwa? Serious?
Nomecheka mbavu cna, khaaaaaah. Nyie watu mmevurugwa vibaya mnoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…