Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mtu mwenye utajili wa trilioni 3.4 huyo. Vipi Sakho huko kambini Senegal?Muhindi anafilisika huku
Mo kila akiona mzigo umeingia kwenye timu anaanza malalamiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye utajili wa trilioni 3.4 huyo. Vipi Sakho huko kambini Senegal?Muhindi anafilisika huku
Mo kila akiona mzigo umeingia kwenye timu anaanza malalamiko
Amekuwa mcheza shoo kiburudisho Cha sadio mane😂Mtu mwenye utajili wa trilioni 3.4 huyo. Vipi Sakho huko kambini Senegal?
Aisee, kumbe yupo kambini kwenye timu moja na Sadio Mane huyu wa Liverpool na baadaye Bayern Munich? Nilidhani ameitwa timu ya vijanaAmekuwa mcheza shoo kiburudisho Cha sadio mane😂
Je angekuwa timu moja na mbappe au Messi si mngetembea uchi kushangiliaAisee, kumbe yupo kambini kwenye timu moja na Sadio Mane huyu wa Liverpool na baadaye Bayern Munich? Nilidhani ameitwa timu ya vijana
hiyo ni kwa ajili ya maisha yake, wala hana habari kama kuna mtu anateseka huku Bongo 😂Je angekuwa timu moja na mbappe au Messi si mngetembea uchi kushangilia
Chawa sakhooo😂😂😂😂😂😂hiyo ni kwa ajili ya maisha yake, wala hana habari kama kuna mtu anateseka huku Bongo 😂
Hawezi kusepa. Hizi ni kelele za kupumbaza wajinga tu. Anapata faida kubwa kuliko. Hafanyi kazi ya kanisa hapa! Faida yake ni direct na indirect!Huyu Kanjibai anatafuta sababu ya kusepa
Chawa sakhooo😂😂😂😂😂😂
Unafukua makaburi😂😂😂
Kaulizwa swali ulitaka ajibu nini?Japo najua sio rahisi kuendesha Simba na Yanga na ni kweli wanajitoa sana ila haya maneno sio mazuri kuyatamka
Ye alichukua Simba aiendeshe kibiashara apate faida kama hapati asianze kusimanga poor Mudi biriani
Sasa ulitaka nipambane bila silaha sheikh? Hata wanamgambo wanakuwa walau na kirunguUnafukua makaburi😂😂😂
Umeshindwa kupambana hivhiv unaleta unakuja na silaha una hoja mkuu,
Kwani Simba kuna hisa??Akiona anapata hasara auze baadhi ya hisa ili wachangie na wengine.
Kuna hizi mo energy zinauzika sana hasa kwa mashabiki wa simba, haoni hiloIna maana yale matangazi kwenye jezi za Simba ameyaweka kwa mapenzi tu ili kuipa Simba umaarufu? Kwamba yale mabango kwake siyo biashara?
Wanasimba na wana michezo kuziunga mkono biashara zake bado haoni faida? Bali hasara?
Utahiralism...Huu ni ukweli.
Kuna mtu alikuwa ameajiriwa na Mo siku hizi amamuita "Mudi" kama njia ya mzunguko ya kumshusha hadhi yake. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba Mo anao uwezo wa kuiajiri familia yao yote na kuwalipa mshahara mpaka mwisho wa maisha yao!!
Tatizo la uwekekezaji kwenye mpira Tz, mambo ni mengi utatakiwa ufanye kuwaridhisha wananzengo, zaidi ya mpira, siasa, mashabiki mihogo Kwa hiyo kama unategemea labda uwekezaji wenye faida na ukuzaji wa mpira, kama nchi zilizoendelea, mwisho utaishia kuuguza maumivu tu bila shukurani na faida yoyote........ Ukweli mchungu.....Simba mtafute mashamba mkalime mchangie uendeshaji wa timu muache kumfilisi kaka mudi.