Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Ina maana yale matangazo kwenye jezi za Simba ameyaweka kwa mapenzi tu ili kuipa Simba umaarufu? Kwamba yale mabango kwake siyo biashara?
Wanasimba na wana michezo kuziunga mkono biashara zake bado haoni faida? Bali hasara?
 
Africa hakuna timu ya mpira inayoendeshwa kwa faida wanachoshindania ni kidogo kuliko gharama ya uwekezaji, angalau kina Realmadrid,Barcelona na manutd huko wale wanafanya biashara japo na timu zao zinamikopo kibao
 
Utahiralism...
 
Simba mtafute mashamba mkalime mchangie uendeshaji wa timu muache kumfilisi kaka mudi.
Tatizo la uwekekezaji kwenye mpira Tz, mambo ni mengi utatakiwa ufanye kuwaridhisha wananzengo, zaidi ya mpira, siasa, mashabiki mihogo Kwa hiyo kama unategemea labda uwekezaji wenye faida na ukuzaji wa mpira, kama nchi zilizoendelea, mwisho utaishia kuuguza maumivu tu bila shukurani na faida yoyote........ Ukweli mchungu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…